kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

chin bees - kababaye كلمات الأغنية

Loading...

kababaye
they call me kababaye
kababaye
thay call me kababaye
ka mazingaombwe n-gg-
kama mazingaombwe n-gg-
n-z-simamisha dede
waki pause me na play
speed kama kwenye plane
kwenye pesa si delay
unstoppable n-gg-
nahenya ma n-gg-
niweke mambo ok
mahali pazuri ni stay
michongo so na pay pay
ubongo w-ngu heavyweight
kwenye ramani sipotei
kile usichoweza push
ndo nakipush everyday
bad man on the way
nawabana kila day
n-z-ma vijiji na miji yote chin bees on air
(hook)
navyozi switch swaga
n-gg- wanadhani rahisi
wanabaki wakidiss
lakini bado naona peace
nachokifanya hawafanyi d-mn!
ndo nawaficha kichizi
wanabaki waki please
slow down chin bees eeeh!
kababaye
they call me kababaye
kababaye
they call me kababaye
ka mazingaombwe n-gg-
kama mazingaombwe n-gg-
n-z-di tekenya yolo
mada kuna hizi dollar
nawaficha kila mara
solo ka diblo di bala
napenya kila pahala
mchezoni natawala
na tena niko imara
corner zote me kinara
(hook)
na hustle mpaka nilee
michakato ikae byee
n-z-di suk-ma mawe
michakato ikae byee

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...