kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

chicha musiq - please a man كلمات الأغنية

Loading...

intro:

uuu ooooo oiyeeee
nononononooo
woo …. chicha musiq

verse1

mwana alimwaga damu
amuokoe mwanadamu
nawewe unamwaga jasho
um please mwanadamu
badala ya aliye mwaga damu
mapenzi yangu matamu
nilimpa mwanadamu
niki amini ananipenda atabaki namimi
kwenye shida na raha hatoniwacha lakini
nililia kwa uchungu please baki namimi
ni bora umuamini mola
sio mola umuamini umuamini bora
na rap rap bora sio bora ni rap rap
nacheza na maneno ila siwezi cheza na neno
kwa maana mwenye hilo neno
hapendi maneno

chorus:

hauwezi please a man (always please father)
usitake please a man (always please papa)
hauwezi please a man (always please father
hauwezi please man ..hauwezi please a man aaah ah

verse2

swala wazi wazi umalaya na ujambazi
umepunguza yetu idadi
ni wengi wako church wanao(god) kuita daddy
ila wakitokea ni straight kwa sugar daddy
na wakisha blunder.. “stamina’
binti usitoe mimba ukihisi utakosa soko
zaa umtunze kisha binguni uepuke moto
acha pupa wewe mtoto
unaye mtusi mzazi na haujui utalala wapi
haujui utakula wapi
nawe sister, mungu anakupa kope ina maana uongeze zako?
anakupa nyusi unanyoa unachora zako
hauwezi please mwanadamu
please aliye kuumba
shukurani kwa aliye nipa
singoji ya niliye mpa
nikisha tenda wema
bora ni sepetu
niwengi watakupenda
kwa yako shepu(shape) tu
ila ukikosa adabu utajionea maajabu
alisema babu
mungu anakupenda hata bila sababu
na kama una ugua basi pata matibabu

chorus:

hauwezi please a man (always please father)
usitake please a man (always please papa)
hauwezi please a man (always please father
hauwezi please man ..hauwezi please a man aaah ah

verse3
siwezi please mwanadamu
na niwewe tu nikikuita unakam (god)
unanipa hamu
ya kukupendeza more
yakukupendeza more and more (x2)

chorus:

hauwezi please a man (always please father)
usitake please a man (always please papa)
hauwezi please a man (always please father
hauwezi please man ..hauwezi please a man aaah ah

outro:

siwezi please mwanadamu na niwewe tu nikikuita unakam yeeei
unanipa hamu ya kukupendeza more
moore ooooo oo ooo yeeee
yakukupendeza more and more and more and more

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...