cherry - ole كلمات الأغنية
moyo umechoka kuteseka
(no bhana hapana)
marafiki mapenzi visa yeah
mood yangu ya kusaka pesa
sina habari nao sitaki kuboreka
(no bhana hapana)
tarariraaa nakudelete uende
sitaki pressure kuteseka daily
tarariraaa nakudelete uende
sitaki pressure kuteseka daily
najipa nafasi (ole, ole, ole)
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole ole)
nawa kata, kata, kata kata kaah ta
acha niupoze moyo
nimwagilie moyo
niuridhishe moyo
nshachoka hizo ndombolo
wabaya watu, kucheza rafu
sitaki katu me nawakataa tu (no bhana hapana)
mambo ya watu, issue za watu
weka kwa kapu hapa ku party tu (oh leo leo)
najipa nafasi (ole, ole, ole)
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole ole)
nawa kataa, kata, kata kata kaah ta
كلمات أغنية عشوائية
- candiria - pull كلمات الأغنية
- candiria - signs of discontent كلمات الأغنية
- candiria - the obvious destination كلمات الأغنية
- candiria - temple of sickness كلمات الأغنية
- candiria - tribes كلمات الأغنية
- candiria - three times again كلمات الأغنية
- candiria - work in progress كلمات الأغنية
- candiria - year one كلمات الأغنية
- cannae - anna's love كلمات الأغنية
- cannae - black flowers كلمات الأغنية