cherry (tz) - kiapo cha damu كلمات الأغنية
[intro]
mmmh
[verse 1]
kupendwa raha
tena ni amani
ukicheka
ucheke na mimi
i’m in love
oh am in love yeah
i need you now
uwe hapa pembeni
ukienda
ntabaki na nani
i’m in love
oh i’m in love yeah
tuliapa wawili
mwili mmoja
tupendane kwa bidii
tuwe pamoja we na mimi, (we na mimi)
ulinifuta machozi
ukanijaza mapenzi
nlipokuhitaji
ulikua na mimi
rafiki wa karibu uuuh
yamenitesa simanzi
nilipo kutoka siwezi
moyo umechoka
nimejifunga
kiapo cha damu
[chorus]
(mhhhhhh mhhhhh)
(mhhhhhh mhhhhh)
mmmh
kiapo cha damu
(mhhhhhh mhhhhh)
(mhhhhhh mhhhhh)
mmmh
kiapo cha damu
[hook]
siwezi tena
sitosema aaaah
sitokoma
siwezi tena
sitosema aaaah
sitokoma
[outro]
ooooohh oooohh (ooh)
ooooohh oooohh (ooh)
yeah
ooooohh oooohh (ooh)
ooooohh oooohh (ooh)
كلمات أغنية عشوائية
- cripple bastards - sangue chiama كلمات الأغنية
- first blood - conflict كلمات الأغنية
- alexisonfire - midnight regulations كلمات الأغنية
- jag panzer - forsaken child كلمات الأغنية
- jacobs dream - stand or fall كلمات الأغنية
- jesters tears - unspoken words كلمات الأغنية
- draxsen - phd pain كلمات الأغنية
- first blood - conspiracy كلمات الأغنية
- darkest hour - savor the kill كلمات الأغنية
- nicole scherzinger - accessoriez me كلمات الأغنية