
cherry (tz) - closer كلمات أغنية
[intro]
mmmh
ooh
[verse 1]
ukinigusa
ukinigusa tu
moyo unanienda mbio ooh
ukinigusa hata ukucha tu
unanichanganya mwenzio
[bridge]
siwezi kulala ukiwa mbali
siwezi kudeka ukiwa mbali
sogea karibu ukae nami baby
cause i need you closer
[chorus]
i need u closer
i need you closer
nakuhitaji karibu
daktari tabibu
i need you closer
closer
nakuhitaji karibu
nikueleze
yalionisibu uuh siku nzima
nitue,nitulieee eeeh
(uh, uh, uh, uh) yeah
[verse 2]
tabia zetu zafanana
ukiona twaendana
tena tulivyoshibana
mapenzi yamenogea
kawaida kugombana
kikubwa ni kupatana
mioyo imeshashikana
kiukweli nimekolea
oh, i want to hold you tight
nikikutazama you smile
the way you kiss
you make me feel
you’re the one for me
eh
i want to hold you tight
nikikutazama you smile
the way you kiss
you make me feel
you’re the one for me
(closer)
[chorus]
i need you closer
nakuhitaji karibu
daktari tabibu
i need you closer
closer
nakuhitaji karibu
nikuelezе yalionisibu uuh siku nzima
كلمات أغنية عشوائية
- madaila - love in ohio كلمات أغنية
- ysy a - #ysya2020 vol. 4 - pasa que yo كلمات أغنية
- rgb1 & jaynbeats - wesh كلمات أغنية
- evynne hollens - speechless كلمات أغنية
- alextv (rapper) - empty inside كلمات أغنية
- devin - 10 toes down كلمات أغنية
- silver - money motivates كلمات أغنية
- jess lee (李佳薇) - only one i care كلمات أغنية
- hotboy dna - incredible كلمات أغنية
- nye hughes - caramelise كلمات أغنية