charisma (ke) - trust issues كلمات أغنية
two toxic lovers (yeah)
this love this love (this love)
[charisma]
uko na trust issues, kila siku unanishuku
kazi zangu za usiku, zinakukera sana (oh no)
na vile we ni msupu, umepewa kila kitu
rafiki yako ndiye sumu, anakuchocha sana (no no no)
hapana, sikukuwa huko jana
unapenda kugombana, sana kila saa (no uh oh)
hasira imegueka hasara, ingawa tunapendana
nimechoka sana (no uh oh)
mi naona itakuwa tu sawa hata tukiachana
mi naona itakuwa tu sawa hata tukiachana ooh
nenda lote (nenda lote mama), nenda lote (nenda lote mama)
nenda lote (nenda lote mama), nenda lote (nenda lote mama)
nenda lote (nenda lote mama), nenda lote (nenda lote mama)
nenda lotе (nenda lote mama), nenda lotе (nenda lote mama)
[bensoul]
niko na trust issues na saa zingine naonanga wivu
juu ma n_gga wako na ka kitu, so siku hizi huniombangi kitu
hata ya p2 na ni sawa tu, hata kama haurudi usiku
i hope and pray the things i do (do) never hurt me and you
sitadanganya nilikesha studio jana, baby mimi hung’ang’ana
sana kila saa (no uh uh), hasira ikigeuka hasara
si unajua nakupenda baby, so i don’t wanna fight you no
naona itakuwa tu sawa hata tukiachana ooh
mi naona itakuwa tu sawa hata tukiachana mama
nenda lote (nenda lote mama), nenda lote (nenda lote mama)
nenda lote (nenda lote mama), nenda lote (nenda lote mama)
nenda lote (nenda lote mama), nenda lote (nenda lote mama)
nenda lote (nenda lote mama), ooh (nenda lote mama)
[charisma & bensoul]
hapana, sikukuwa huko jana
unapenda kugombana, sana kila saa (no uh oh)
hasira imegueka hasara, ingawa tunapendana
imebidii tumewachana
كلمات أغنية عشوائية
- kurban - ağlama değmez hayat كلمات أغنية
- mo kenney - five years كلمات أغنية
- material - unforgivable كلمات أغنية
- katherine jenkins - a flower tells a story كلمات أغنية
- sylvan - that's why it hurts كلمات أغنية
- nawal - bokrah khair كلمات أغنية
- hel (swedish) - zeitenwende كلمات أغنية
- sway in the morning - sweat كلمات أغنية
- young reezy - the bay كلمات أغنية
- ren - love you كلمات أغنية