casto mnyama - huu mziki كلمات الأغنية
mziki umejawa majungu
mziki umejawa fitina
mziki bila kiki ndo kabisa wanakuzima
mziki umejawa uchawi maana ya ushirina
wasani kwa wasani ndio wanaologana
mziki umejawa timu za hao wenye majina
ukija na ngoma kali wanapambana kukuzima
mziki una mashabiki tena wa kila aina
wengi hawakujui ila wanakutukana
eeeyaaaaaaaaaaa
mziki mbona kama huna maana
eeeyaaaaaaaaaaa
wanaologa ndio wanaojulikana
eeeyaaaaaaaaaaa
nilishakuahidi vitu vingi mama
nipo stronger napambana
eeeyaaaaaaaaaaa
mziki mbona kama huna maana
eeeyaaaaaaaaaaa
wanaologa ndio wanaojulikana
eeeyaaaaaaaaaaa
nilishakuahidi vitu vingi mama
nipo stronger napambana
mziki una ma presenter wasiojua mziki
ukija na ngoma kali bila pesa ausikiki
mziki ni ushetani shabiki aeleweki
ukitaka wakupende mpaka uimbe matusi
mziki unapesa nyingi zaidi ya mafao ya wastafu
lakini wanao zipata wanafanyiaga upumbavu
wanakwenda kwa waganga kusafisha nyota
wanakuja sh_tuka tayari pesa zimekwisha
wanaanza pagawa wanaanza chachawa
ndo maana wengine wanaishiwa kwenye madawa
mziki na siasa hivi havikai mbali
mziki unatumika sana kwenye kampeni
siasa zitapokwisha mziki weka pembeni
mziki umetumika kama ndala za uwani
eeeyaaaaaaaaaaa
mziki mbona kama huna maana
eeeyaaaaaaaaaaa
wanaologa ndio wanaojulikana
eeeyaaaaaaaaaaa
nilishakuahidi vitu vingi mama
nipo stronger napambana
eeeyaaaaaaaaaaa
mziki mbona kama huna maana
eeeyaaaaaaaaaaa
wanaologa ndio wanaojulikana
eeeyaaaaaaaaaaa
nilishakuahidi vitu vingi mama
nipo stronger napambana
mziki una mambo mengi mengine ayaelеzeki
wanaopiga picha za uchi ndo wanauza gazeti
كلمات أغنية عشوائية
- fred the godson - move a little different كلمات الأغنية
- annuals - dry clothes كلمات الأغنية
- the crowds - transrapid كلمات الأغنية
- t ara - tto leu leu كلمات الأغنية
- u roy - wear you to the ball tonight كلمات الأغنية
- radio radio - bingo كلمات الأغنية
- ordain - against the grain كلمات الأغنية
- wayne hancock - friday and saturday night كلمات الأغنية
- ordain - through angels eyes كلمات الأغنية
- sophie ellis bextor - romeo كلمات الأغنية