kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

cannibal (ke) - bouncing كلمات الأغنية

Loading...

1 (cannibal)
ninapotema verse
wengi wanaskia utam
all eyes on me utadhani sean paul amekam
shika kalam instrumental ndani ya tabasam
stand firm madame nakam na wicked slam
so kwa dance floor ndio napatikana
nashikana na madame mi naminyana
niko na my crew njoo kama utawezana
bambana na microphone kupigana
naleta… tai chi mi najua hata bruce lee
natengeza legend ya wafalme weusi
you better form seat hizi go we bouncing
una_legalise mpaka slang za matusi

e_yo
na na na na
e_yo
na na na na na na na

e_yo
na na na na
e_yo
ni cannibal na sharama

cannibal still bouncing bouncing
sharama still bouncing bouncing
sharama still bouncing bouncing
cannibal still bouncing bouncing

cannibal still bouncing bouncing
sharama still bouncing bouncing

sharama still bouncing bouncing
cannibal still bouncing bouncing

sema ye
niko matindasi
bably, cannibal alika debe la mn_z_
hamna noma tembeza na mboko mazee
kiutu zima hakuna cha utoto mazee
basi more kujaza bakaza
tukunywe mpaka che asiyeweza talaza
mume nguvuze
more kujaza bakaza
tukunywe mpaka che asiyeweza talaza
mume nguvuze

e_yo
na na na na
e_yo
na na na na
zoom zoom zoom
zabadu zabadu
rusha mikono juu ucheze ngoma mpaka che

zoom zoom zoom
zabadu zabadu
rusha mikono juu cheza ngoma mpaka che

e_yo
na na na na
e_yo
ni cannibal na sharama

cannibal still bouncing bouncing
sharama still bouncing bouncing

sharama still bouncing bouncing
cannibal still bouncing bouncing

cannibal still bouncing bouncing
sharama still bouncing bouncing

sharama still bouncing bouncing
cannibal still bouncing bouncing

3 (sharama)
one, two, tunavisha mavitu
game taenda juu tuko high na moshi wa doom
leo mpaka kucha, tunajirusha
hakuna kuzusha
vichwa vibovu vyote tingisheni vichwa
na kupenda beat bounce, bounce na beat
tuko matingasi
tutizame sote hapa tuko jicho nyanya
kipeyee, kipeyee bomba
na kipekeke ndani ya tabasam, yeah
nadhani nyote mtafaham
niko na simba gun
navuruta vuga sauti nije simba gun
tusuge debe mpaka che sote tusherehekee
na vinywaji pia beer wee tuwekee
leo mpaka morning i got game babe
microphone inavyoleta witness mimi n___
that’s how mama anavyokatika
cannibal still bouncing bouncing
sharama still bouncing bouncing

sharama still bouncing bouncing
cannibal still bouncing bouncing

cannibal still bouncing bouncing
sharama still bouncing bouncing

sharama still bouncing bouncing
cannibal still bouncing bouncing

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...