cafu da truth & mambo makes music - homesick كلمات الأغنية
intro (cafu da truth):
kila kitu ita pass, najua inaudhi kila siku ma mask, weekend bila club, ni mauti, wananchi wana starve, health workers wako harmed
verse1: (cafu da truth)
no dish niko homestill
no biz niko homesick
no please hatutaki promise
try ku reach mp utanotice
viongozi wote siwaoni
wananchi time ya polling
stay at home pia waambie sorry
hatuwezi kueka nguruwe kwa office
dunia ina heal time tunafight covid
leaders sijui wana expect type gani ya makofi, overseas daily wanadig ma coffin, tutry ku face situation boldly, imf international governing bodies, pesa ya relief isikue ya profit, ka hakuna kitu ya kuficha nitaacha kua nosy, patieni raia kazi ya audit, situation haiko rosy kind of th_rny, 1m apart ni enough ku move na mbogi, if u dont promise a new dawning ya k_maliza yawning.. aaargh
_hook (mambo makes music)
si tumejificha design ya kobe, funika macho face mpaka ata kope, tukisota si wa china tuwakope
me niko homesick.. me niko homesick
verse 2 (cafu da truth)
pandemic tungefight from the onset, buda
stay home waoni watu homeless, nyuma, wengine kuchujwa makeja na situation ni hopeless, bila unga, before rona kwa corner jobless, tupa lugha, boeka ka tu kwa nyumba, niki stare ukuta, na nikik_mbuka tulikubali flight za wuhan, f_cked up ju tulikubali foreplay, tumeanza kujuta, sa ni guidelines wanatoa, k_mbuka, mkono sanitize na udunge barakoa, ni poa kujichunga, na maskini hajui wapi chakula atatoa, na barabara wamefunga, cases za gbv ku increase kwa ndoa, familia zinakufa, itawacost nini kuhakikisha kila kitu iko poa, mtihani acheni kudunda, after izo ma lockdown mmetoa, tutaketi chini mikutano ya dharura
_hook (mambo makes music)
si tumejificha design ya kobe, funika macho face mpaka ata kope, tukisota si wa china tuwakope
me niko homesick.. me niko homesick
_outro_ (cafu da truth)
si ati tuna grudge, but kwa suti, zenye wabigi wanavaa, ni mangiri za ma lunch, tunafaa ata kuban, wasikuje mazishi, wasionekane ata church, kwa ma budget ni massage, but kama county yako kuna vitu zina lack, tukikupata kwa ufisadi ni masmack, trying to take the country back
كلمات أغنية عشوائية
- problem - 100 grand كلمات الأغنية
- fake problems - the gun كلمات الأغنية
- kodaline - all i want كلمات الأغنية
- ft 2 chainz kevin mccall - sweetest joy (ft. 2 chainz) - kevin mccall كلمات الأغنية
- foreigner - just wanna hold كلمات الأغنية
- neil young - wayfarin' stranger كلمات الأغنية
- no mercy - mohammed كلمات الأغنية
- next - anything كلمات الأغنية
- fray - silent night كلمات الأغنية
- nick cave the bad seeds - mermaids كلمات الأغنية