kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

cadoh - i miss you كلمات الأغنية

Loading...

[verse 1]
nimesubiri kidogo
uje tuanze mwanzo
kukuona ni ndoto au mawazo
lini utarudi kipenzi ? unipooze moyo
kuishi bila we siwezi, naugua moyo

[bridge]
ni kweli unanipenda au umeamua kunitenda?
ni umbili ulipokwenda ? mmmh niambie
kuna kosa nililotenda au umeamua kunitenda ?
ni umbali ulipokwenda, (umbali ulipokwenda?)
uh mmmh

[chorus]
hmmm i miss you girl, hmmm
you’re always on my mind
mmmh i miss you girl, oooh
you’re always on my mind
mmm i miss you girl ouuh
you’re always on my mind oouuh
mmm i miss you girl
you’re always on my mind (always on my mind)

[verse 2]
k_mbuka tulipotaka na tunapokwenda
tangu ulipo ondoka, je bado unanipenda ?
jamani moyo unachoka, mi sitaki kupenda
kutwa nzima mi nalia lia, mapenzi kidonda
[hook]
mimi nilie na nani ? (na naye)
nicheke na nani ? (yeye)
mimi nilie na nani ? (na naye)
nicheke na nani ? (yeye)
najawa simanzi, kipenzi nateseka

[bridge]
ni kwеli unanipenda au umeamua kunitenda?
ni umbili ulipokwеnda ? mmmh niambie
kuna kosa nililotenda au umeamua kunitenda ?
ni umbali ulipokwenda, (umbali ulipokwenda?)
uh mmmh

[chorus]
hmmm i miss you girl, hmmm
you’re always on my mind
mmmh i miss you girl, oooh
you’re always on my mind
mmm i miss you girl ouuh
you’re always on my mind oouuh
mmm i miss you girl
you’re always on my mind (always on my mind)

mmmm … na naye , yeye
na naye , yeye
[chorus]
hmmm i miss you girl, hmmm
you’re always on my mind
mmmh i miss you girl, oooh
you’re always on my mind
mmm i miss you girl ouuh
you’re always on my mind oouuh
mmm i miss you girl
you’re always on my mind (always on my mind)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...