kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

by monica bulali - nakutegemea كلمات الأغنية

Loading...

uliye mwanzo nakutegemea
uliye mwisho nakutegemea
uliye alpha nakutegemea
uliye omega nakutegemea
bwana
nakutegemea_2
yesu
nakutegemea_2
uliniumba nikuabudu ewe bwana
tegemeo la maisha yangu ni wewe yesu
umenisamehe dhambi zangu messiah
umenisafisha ukaniokoa mwokozi w_ngu wee
kama sio mungu w_ngu ningekuwa wapi
kama sio wewe yesu w_ngu ningeenda wapi
mimi siwezi bila wewe jehovah
mimi siwezi bila wewe yesu
nakutegemea_4
upendo wako ewe yesu ni wa ajabu
ulikufa msalabani kwa ajili yangu
kwa mapigo yako yesu nimewekwa huru
umeniokoa ukanikomboa messiah
kama sio wewe yesu w_ngu ningekuwa wapi
kama sio wewe yesu w_ngu ningeenda wapi
mimi siwezi bila wewe bwana
mimi siwezi bila wewe yesu
nakutegemea_4

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...