kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

by monica bulali - nakukimbilia كلمات الأغنية

Loading...

chorus
nakukimbilia ewe bwana
ninakuhitaji ewe bwana
ni wewe bwana
mwokozi w_ngu
ni wewe bwana
mwokozi w_ngu

stanza one
ninakuhitaji ewe bwana
tegemeo langu
ni we ni wewe
ni wewe bwana
mwokozi w_ngu
ni wewe bwana
mwokozi w_ngu

chorus

stanza two
wewe umekuwepo tangu mwanzo
yahweh
ngome imara ni wewe tu eeh
yale unayotenda ni ya ajabu bwana
kimbilio letu ni wewe bwana ash
ni wewe bwana
mwokozi w_ngu
ni wewe bwana
mwokozi w_ngu
chorus

stanza three
sijaona mungu kama wewe bwana
umeyajibu maombi yetu baba
wewe baba wa mayatima
yahweh
wewe ni mume wa wajane
yahweh
wewe ni mfalme wa mfalme
yahweh
ni wewe bwana
mwokozi w_ngu
ni wewe bwana
mwokozi w_ngu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...