buruklyn boyz - pree كلمات الأغنية
[intro]
yoh! yoh yoh
tano nane, skia kwani ni kesho
[chorus: ajay]
yoh! ju mi ni star ka jb and per head no brainer
chali yake anampa stress anateta ni mbleina
bad bih kila saa ananicheki
anapree anapree anago on her knees
anadai kuhang na team, anadai kuhang ju gang inawin
ju mi ni star ka jb and per head no brainer
chali yake anampa stress anateta ni mbleina
bad bih kila saa ananicheki
anapree anapree anago on her knees
anadai kuhang na team anadai kuhang ju gang inawin
[verse: ajay]
bad bih lakini anatekwa na chrome
hawa mahoes kwa dm wamekrome
ask my ex am toxic haezi niacha ju ya hii bone
ask my ex am toxic haezi niacha ju ya hii bone
yoh! 24/7 studio narap
b_tches keep blowing my dm uh, from am to pm
sometimes humap by added cm
wananipenda juu ya fame najua dis hoes don’t love me
naеnda super greazy mode ni ma wrеck kama booker t
[chorus: ajay]
ju mi ni star ka jb and per head no brainer
chali yake anampa stress anateta ni mbleina
bad bih kila saa ananicheki
anapree anapree anago on her knees
anadai kuhang na team, anadai kuhang ju gang inawin
ju mi ni star ka jb and per head no brainer
chali yake anampa stress anateta ni mbleina
bad bih kila saa ananicheki
anapree anapree anago on her knees
anadai kuhang na team anadai kuhang ju gang inawin
[verse: mr right]
ajay unaclaim huyu mpoa anapree anapree anapree
ana go on her knees
anapenda kupelekwa out azyn anapenda matreats
ukimuuliza anapenda ma cakes ukimuuliza anapenda ma creams
and she always on the crib fine b anapenda kupiga mapics
opp boy amecatch mafeelings mpoa wake anaroll na team
amechoka kubuy_iwa mapizza anataka nimwonyeshe hii ni life ya east
anasema mafriends indeed sometimes anadai kunikiss
anasema mafriends indeed, sa_sometimes anadai kunikiss
everyday tunakuw_nga ma meds, strictly hizi tracks ni overdose
wanauliza wanaask ni nini? ni wapoa tumeoverload
nimeball nimeball drip zangu it’s all on me
sitaki kukopa doh (zii zii)
b.boyz sisi ni madon, don junior ki el chapo (po_po)
like it or not, ngoma zetu ziko on repeat
tunachafua hizi mashow
top boy tunawaacha wakisweep (sweep sweep)
si tuko fresh fresh fresh kama daily milk (fresh fresh)
ni aluta kibiriti, na masteam na matopper tingz
[chorus: ajay]
ju mi ni star ka jb and per head no brainer
chali yake anampa stress anateta ni mbleina
bad bih kila saa ananicheki
anapree anapree anago on her knees
anadai kuhang na team, anadai kuhang ju gang inawin
ju mi ni star ka jb and per head no brainer
chali yake anampa stress anateta ni mbleina
bad bih kila saa ananicheki
anapree anapree anago on her knees
anadai kuhang na team anadai kuhang ju gang inawin
كلمات أغنية عشوائية
- lazy queen - fuck kevin spacey كلمات الأغنية
- vajgat orkesteri - qimagaaneq كلمات الأغنية
- yung heazy - a genuine attempt at not being a dick كلمات الأغنية
- underwhere - burning bridges كلمات الأغنية
- ham den lange - forgiftet كلمات الأغنية
- dripmilk - rakuzan كلمات الأغنية
- лютик (lyutik) - вампир (vampire) كلمات الأغنية
- wesley willis - dexter safford كلمات الأغنية
- praxi - $not كلمات الأغنية
- maywish (메이위시) - hello كلمات الأغنية