kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

buruklyn boyz - nairobi lyrics

Loading...

[intro: ajay]
yo, tano nane
kwani ni kesho?
si kesho

[chorus: ajay]
tuna_take over nairobi mzima
east, west, mpaka cbd (uh_huh, uh_huh)
hii ndio mbogi imeivisha drill, 254 tunachafua scene
si ndio the trend, ntv, kwa hii game si ndio ma mvp
na ka kuna msee anabishana, akam hizi sides a_try ku_resist

[verse 1: ajay]
kwa wale hawani_recognise, uh, mi ni big boy uno
kwa hizi sides bado unakangwa hata ka umeivisha judo
manambling tunawa_round, ni ka tunacheza ludo
mresh wako ana_slide dm, ah, sina time ya makuro
bro w_ngu alipurura stock, pia mi nikabaki nime_finesse plug
hawa mariza wanaona wanaeza do juu wamepiga ma_rags
itabaki tutoke kwa ground, tuache kuitwa ma_local thugs
ma_hater kwendeni huko, si hufanya kitu juu ya ma_fans (kwenda!)
tuko on top juu ya kicc, ma_ops sere mzima tunawa_ping
ki_pubg au cod but tuna_real kwa hizi streets
we ready to risk, hatutajibali, hatuna pupa, hatu_hang na fally
we jua hii gang ni kali, inapendwa na madem wa geti kali
tuko strap na makoro in case hawa manambling wajigas wanadai smoke
tuko strap na makoro in case hawa manambling wajigas wanadai smoke
maziwa zetu ziko freshi ndenu, we uko na ndegi zenu imbo (kwendeni)
uta_survive aje kwa jungle, man, na hautafuti doh (yo, yo)
[chorus: ajay]
tuna_take over nairobi mzima
east, west, mpaka cbd (uh_huh, uh_huh)
hii ndio mbogi imeivisha drill, 254 tunachafua scene
si ndio the trend, ntv, kwa hii game si ndio ma mvp
na ka kuna msee anabishana, akam hizi sides a_try ku_resist (akam, akam)
tuna_take over nairobi mzima
east, west, mpaka cbd (uh_huh, uh_huh)
hii ndio mbogi imeivisha drill, 254 tunachafua scene
si ndio the trend, ntv, kwa hii game si ndio ma mvp
na ka kuna msee anabishana, akam hizi sides a_try ku_resist

[verse 2: mr right]
ma_goon wameivisha drill, 254 si manamba uno
unaeza uliza namba uno
mi nadai cash, doh, gwap, hadi ma_euros
t bop ki_unknown t, man, i got gyally on me
kwa kichwa nina ma_alphabet, abcd
stay tuned kwa hii tv, na team ina_shut down cbd
na ma_rapper wako weak kwa streets, hamkudungwa bcg
stay tuned kwa hii tv, na team ina_shut down cbd
na ma_rapper wako weak kwa streets, hamkudungwa bcg
uh, niko jo kwa scene, mkono zinarushwa right and left
kwa street usibebwe ufala, go hard ka chain ya bmx
big boys tunaenda viral, breaking news kwa cnn
na ukileta ujinga kwa mbogi, unapigwa x
ma_bro this life is crazy, and welcome to the city of s_x
hawa wasee wame_carry ma_knives, skengs, hmm, for defense (bow)
juu gang yu hukuw_nga safi usitu_tempt, no offence
na ukileta ujinga kwa mbogi, unapigwa x

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...