bullet (ke) - top kwenga كلمات الأغنية
[intro]
it’s bullet
is fisa
is diang
is fisest
wolan coda
[chorus: bullet]
top kwenga nasaka machwenga
nikiinzagi nadai kujenga keja
top kwenga nasaka machwenga
nikiinzagi nadai kujenga keja
keja kwenga top chwenga
keja jenga top kwenga
[verse: uncojingjong]
red lorry yellow lorry(eeh)
kimorning glory
rengwa kabla nikiwashe sipendi mastory
naosha sura alafu najitoa mangori
kabla sijaanza kwanza najisaksua mapori
naweza angukia kichwepe kya juzi
nilindasu nikasahua
juu enyewe niko kidude
huwezi jua hadi naweza angukia kithao
nijipate niko mapilka
punde si punde natafuna matawi na si kunde
si jaba ni majani chai k_mbe
nikichemsha niki laku na mak_mbek_mbe
ni juu ya wabling wacha nzakwa nijisunde
ehee
[verse: rapdokta]
punde
sanse nyuma na bunde (boom)
ka ulikuwa utokе teke jisunde (wee)
sitеmbei na magoti lakini zinagongana
vikombe nimekunywa ni munde (kiyana)
nipige gomba mbili walai ndawasare
niko karibu kuingia flight_mode
na macho zimenyanya
shada nimewaka
miguu zinajivuta (step)
msupa chora saba
na me nasababisha
juu me ni baba
huwezi nibabaisha
flow imebadilika
sauti inatiririka
madem wanachachisha
ra ra ra ra rapdokta
[chorus: bullet]
top kwenga nasaka machwenga
nikiinzagi nadai kujenga keja
top kwenga nasaka machwenga
nikiinzagi nadai kujenga keja
keja kwenga top chwenga
keja jenga top kwenga
[verse: bullet]
nadai keja
nadai kitu major
nikiinzagi ni weze kuwateka
kiuzingting na bado kuwasesa
vitu bwaka si vitu reja reja
najikaza nipate za kuwaka
nikipaka niondokee maswara
nikikwara juu sipendi ufala
madimboste huleta za kubanja
ni mashoste hawana mamkwanja (tomba)
madimboste huleta za kubanja
ni mashoste hawana mamkwanja
[chorus: bullet]
top kwenga nasaka machwenga
nikiinzagi nadai kujenga keja
top kwenga nasaka machwenga
nikiinzagi nadai kujenga keja
keja kwenga top chwenga
keja jenga top kwenga
كلمات أغنية عشوائية
- jayjmulo - book one feat. bob كلمات الأغنية
- cargobrown - bicme (before i close my eyes) [live] كلمات الأغنية
- bearings - dead weight كلمات الأغنية
- yung f.l.y - the truth (freestyle) كلمات الأغنية
- suricato - trem (superstar) كلمات الأغنية
- mange makers - drick den - radio edit كلمات الأغنية
- falcon trinity - rock out with my chode كلمات الأغنية
- stockholmssyndromet - lasta كلمات الأغنية
- sdotbraddy - cant tell me shit (remix) كلمات الأغنية
- verbal jint - 무간도 (infernal affairs) كلمات الأغنية