brian simba - stimu كلمات الأغنية
hook:
catch me mwisho wa mwezi popping tags at kariakoo
bebe mbili zishanicheki
leo jioni kweli soo
tungi ndoo
mobile money balance kitu kama mo
kama unaweza njoo, bata- yeyo!
bridge:
mr dj dj leo cheza tu nyimbo za mi na masela, ay
booze, food, trees, shpapi noma oyy wera wera, ay
bukta, vest, sandals, baby all commando ndani ya dera, ay
slim waiste, round booty, boujee kama vile mirlah!! ay
verse 1 (brian simba):
bongo city hommie
all my n-gg-s know me ka’ jamaa wa style nyomi
njooni kwetu jumamosi nyama kama tamasha la carol ndosi
wowowo kwa mboni
mcheki george williams bata mbudya mpaka jioni
tungi mpaka basi
mixa sprite, coca, stoney..
just another weekend in my city- daressalaam baby baby ohh yeah!
ndinga lenyewe la kuiba home
mwanangu endesha polepole
back seat kissing- put my hands in her skirt ghafla tu nmeloa vidole
riding around ndani ya jiji- ubao ukizidi tukale chole
jicho nyanya sana take a takeaway, kwanini tu nikae wanch-r-?
off to a houseparty- gambe, slow music, shawties kibao natia mastory
zama room, zima taa, lock doors- cheza mechi mpaka goli
this is the sh-t that went down k-mfanya gavin aandike sunday morning
hook
bridge 2:
mr waiter waiter leo leta tu gambe for mimi na squad
ooh my god! leo kifo- ebu cheki mf-ko ulivojaa
kuku, mbuzi, ng’ombe, gambe
hombre, hakuna kitu kama njaa
daily ni mi na vichaa
tupo kitaa- mskilize jamaa- eh!
verse 2 (i.d):
bado ninadunda navyopaswa, wanaunga tunawaacha
wanashuka tunapanda, tunavunja wanasanda
bado mkubwa kama baba, kama uber kwenye stata
wananisoma kama dua kwenye mkwanja
aah ah, hata wasiguse, aah ah
majani kama shamba dah ah
navuta ah yea, navuta sana
niko na simba, wakileta beef- nyama
i swear, leo haponi mtu i swear!
mtungi kama ruvu i swear!
pesa inaongea tumevunja vibubu i swear!
mtamu kama boom i swear!
yea, bado fiti na machizi, kila street bado mziki
bado bigy bado pindi, bado ligi bado spidi
niko na mtoto amejaza kama duka la muhindi, kwani vipi
bado mbichi bado mziki, bado kiki bado gwiji
bado mbishi bado mziki, bado ligi
tuko maji kama wimbi, bado kwikwi
mziki mnene kama bigy, hawanshiki
wanansoma kama barua ya urithi
bata la kufa mtu hadi mazishi, lord!
outro (brian simba):
stimu zikikata tunahamisha makambi
to mbezi beach
mauaji kibao so hizi pesa rambi rambi
fire, fire, its lit
kama kibatari na tambi
black girls, white shpapis
na wengine rangirangi.. ayy!!
كلمات أغنية عشوائية
- xander sol - untitled.03 كلمات الأغنية
- slxck - who are you كلمات الأغنية
- l-pro [pl] - insta love كلمات الأغنية
- il pan del diavolo - africa كلمات الأغنية
- matt bennett - jumanji كلمات الأغنية
- johnny rivers - moving to the country كلمات الأغنية
- malajunta malandro - go on كلمات الأغنية
- golec uorkiestra - bo lato rozpala كلمات الأغنية
- zampa - la luna e il silenzio كلمات الأغنية
- huztes - qayıtmır?! كلمات الأغنية