brian simba - og كلمات الأغنية
hook [brian simba]
hii pia sio ya maguza
ila d_mn wataipiga sana disco
wakichill, ish! ndo yesu kristo!
maana man get bored na mahit song
anyway, real n_ggas in the bil now
nawaangusha emcee bila pistol
na mapisi yao yanaacha missed call
man
what you looking at my wrist for?
what u looking at my wrist for?
what u looking at my wrist for?
what u looking at my wrist for?
hii casio og na official ×2
verse 1 [brian simba]
hii pia sio ya mapisi
ila hawa pisi wataigonga kutwa mara tatu
please
hii ya kutingisha makichwa kama chizi sio ya kuchezea shaku
mi sijawamiss ila hizi pisi gonna need something to twerk to
halafu w_n_liwa kama daku
nilikosa form nimerudi ka’ lukaku
uh
acha upumbavu!
a n_gga this clean nina styles ka’ uchafu
uh
nikiendelea kuwanyea mixtape utaisikilizia bafu
dah!
hii sio flex bro!
mi ninataka wapa info
patek phillipe kama sio og inakua ni macomedy kwa watu
nikiwaga chuga na bruky ni stiki nateketeza pafu
israeli mwanangu, daily nnamsogezea watu
nah dude! hayo mabati uliovaa bora saa za iloveyou
verse imeisha
chorus halafu mulla ananipa tafu
chorus[brian simba]
hii pia sio ya maguza
ila d_mn wataipiga sana disco
wakichill, ish! ndo yesu kristo!
maana man gets bored na mahit song
anyway, real n_ggas in the bil now
nawaangusha emcee bila pistol
na mapisi yao yanaacha missed calls
man
what you looking at my wrist for?
what u looking at my wrist for?
what u looking at my wrist for?
what u looking at my wrist for?
hii casio og na official ×2
verse 2 [fredrick mulla]
what you looking on my wrist for? ni bangili og na official
i got your girl starring at me, kama mmasai mikono yangu looking sick bro
rangi nyingi kama rainbows, style mingi kama kapu la urembo
she be looking on my wrist bro, ndomana amelowana kama vile amenyeshewa na rainfall
too drip imefunguliwa koki, low key najua mnanicopy
mi na jamaa tunastyle flani yakufanya watoto bila professor watupigie makofi
mabangili kwenye wrist ndio sababu watu wengi wengi kuniangalia hawachoki
too clean all you n_ggas kuwa clean kama mimi mnahitaji pata supu ya dodoki
uuh! mkono umejaa maculture huu, kama ukuta machata tu
shpapi zinaniona mpya kila siku mana bado sijashuka nafuu
na ball kama sijasikia la mkuu, usiniige mimi utaja vunjika guu
na mtoto flani, anabangili, shingoni, mkononi mpaka chini kwa mguu
mkononi mpaka chini kwa miguu, i be flexing kama niko malibu
kuzidaka piece kali mbona easy, ma bangili hupunguzaga ubandidu
wanangu wenyewe they know, navyobadiri style ni so
leo mkononi ziko hizi, za kesho hujaziona before
كلمات أغنية عشوائية
- pearl jam - gone [july 22, 2006] كلمات الأغنية
- alec boi - alectober كلمات الأغنية
- run-d.m.c. - they call us كلمات الأغنية
- suvi teräsniska - jos mikään ei riitä كلمات الأغنية
- edidion - turnin' كلمات الأغنية
- nazareth - love hurts (original studio demo) كلمات الأغنية
- zacke - ger mig ingenting كلمات الأغنية
- ainz li - cold كلمات الأغنية
- g.rxse - become a legend كلمات الأغنية
- justin bieber - boyfriend (vice radio) كلمات الأغنية