
breeder lw - genjeness كلمات أغنية
yeah yeah yeah
yeah yeah yeah yeah
yeah
bazenga!
tuki step in ni commotion, hatu settle
ma peng ting kuwazungusha kama pedal
nikiwa kwa form,jua ni genje,ni genje
nikiwa kwa form,jua ni genje,ni genje
step in ni commotion, hatu settle
ma peng ting kuwazungusha kama pedal
nikiwa kwa fom jua ni genje, ni genje
nikiwa kwa fom,jua ni genje ni genje
bazu bazu,wabebe juu kwa juu
bazu bazu,wabebe juu kwa juu
aki ya nani sija chase hii vodo walai
aki ya nani leo sitoki solo walai
ma gala wananisuka na wanaweza
we una pupa na umefika na impreza
ma f_ck boy wamedie nywele kama dexter
na mashashola ndani ya satchet ya ketepa
eh!
big drip,hii ni nile apana tana
kuna msupa ameibwa weave kwa hii turn up
mzuka full genjeness in abundance
sishiki tenje ka hatubongi biashara
tuki step in ni commotion, hatu settle
ma peng ting kuwazungusha kama pedal
nikiwa kwa form,jua ni genje,ni genje
nikiwa kwa form,jua ni genje,ni genje
step in ni commotion, hatu settle
ma peng ting kuwazungusha kama pedal
nikiwa kwa fom jua ni genje, ni genje
nikiwa kwa fom,jua ni genje ni genje
hii ni vibe ya ki bazu na fom iko tru
na sipendi hawa ma zuzu hubleki kwa loo
leta kichwa,kachumbari na ki supu
ati hujali mbele ya watu unani busu
ma taxin ndio zimefura kwa mdomo
niko sete na kwa pori ni ma jomo
nachocha benzo niwashie ki jamo
ngoma kali itawashika mpaka lagos
tk mandugu zangu wako area
ka umejipin usilipue ki ndeng’a
kuna makwella nataka nitoke nao later
wakiniboh niwa curve kama beckham
tuki step in ni commotion, hatu settle
ma peng ting kuwazungusha kama pedal
nikiwa kwa form,jua ni genje,ni genje
nikiwa kwa form,jua ni genje,ni genje
step in ni commotion, hatu settle
ma peng ting kuwazungusha kama pedal
nikiwa kwa fom jua ni genje, ni genje
nikiwa kwa fom,jua ni genje ni genje
كلمات أغنية عشوائية
- doug poindexter & the starlite wranglers - my kind of carryin’ on كلمات أغنية
- sofus the og - iceberg كلمات أغنية
- tapia eta leturia - festarik festa كلمات أغنية
- l'armaloeil - l'arma freestyle n*1 كلمات أغنية
- werd - mold كلمات أغنية
- bloodclots - monster كلمات أغنية
- tayetaye - some more كلمات أغنية
- s'natra - four letter words كلمات أغنية
- frankie the ace - party all night (bonus track) كلمات أغنية
- dream theater - regression/overture 1928 كلمات أغنية