bravo the son - a be killin em كلمات الأغنية
intro:
anha aa
bombronx in da house
bravo the son
verse 1:
namkimbiza mwenye baja kwa miguu, am the terminator
kichwa nondo paja kichuguu, nawapiga ngeta
siogopi bullet za gunshot, am iron man
robocop, pigo ni non_stop, mak_mazan
kifua mbele nmetimba ka jan_dush
punguza kelele una mimba so just push
kazi haina kwere kibaka si just_gush
kazi haina kwere nikisaka nipate kush
hivi ndivyo nlivyo siigizi j_po msanii
and a be k!llin em, nyumbani mi ni nabii
na_highjack, kisha na_fly kwa i_track
si_ipack, nipe beat kali ni_rap trash
uwezo mia mia sina tuzo ya kili
wapo wanaochuchumia na kujiita mahiri
pale mjinga anapoongea mwerevu tumia akili
mi nondo kwenye game ukinifata utasubirir
and a be k!llin em, and a be k!llin em
wana_try niko juu n_ggas wako so lame
and imma k!ll dem, and imma k!ll dem
waulize wanaonijua ntachofanya godd_mn
chorus:
naishi kama ndege wa angani mana chini sipatikani like eh eeeh eeyaah
mana mi na wao hatufanani na nilianza kama utani now am on aiiiir
j_po walianza zamani ila speed hazifanani
mi natembeeeea
wao wana stim za mjani mi baraka kanisani
god take caaaare, yechu mana
a be k!llin em n_ggas [a be k!llin em n_ggas] x4
verse 2:
naweza kufanya hip hop, naweza kufanya singeli
nifanye michakatatoo ili badae nisije kufeli
binadamu viroho vya kwatu, ndo matapeli
ndo kwanza nafunga viatu ma n_gga tukutane sheli
kidume ukiwa fake, tunakupa baasha
tunakubatiza jina tunakwita aisha
aisha aisha unanihangaisha ngaihsaa
k_mbe machizi kitaani wan_z_ma data
mana sku hizi hata msiba nao ni kiki
watoto wa kiume umbea kama vibinti
uwezo mdogo unauliza utoke vipi
kula hata mamdogo kwani si ana matiti
kama ukweli unawakera, aisee samahani masela
mana ujanja ni hela, na sio wingi wa mandela
lazima nipite accapela, mtoto wa mama msosi wa jela, msosi wa hela
chorus:
naishi kama ndege wa angani mana chini sipatikani
like eh eeeh eeyaah
mana mi na wao hatufanani na nilianza kama utani
now am on aiiiir
j_po walianza zamani ila speed hazifanani
mi natembeeeea
wao wana stim za mjani mi baraka kanisani
god take caaaare, yechu mana
a be k!llin em n_ggas [a be k!llin em n_ggas] x4
outro:
wuh wuh
n_gga whaaat
kebeni mkalii
كلمات أغنية عشوائية
- young awm - moshkela كلمات الأغنية
- berq - mein hass tritt dir die haustür ein كلمات الأغنية
- komachi thugn - knock em off كلمات الأغنية
- uma chetcuti - seconds كلمات الأغنية
- lovelytheband - dear, my future self كلمات الأغنية
- dead season (can) - cave bear كلمات الأغنية
- ypc nige - don't cry كلمات الأغنية
- carr winny - low كلمات الأغنية
- flowend - sorun değil كلمات الأغنية
- triple seven - nada de nada كلمات الأغنية