kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

boutross munene – mbona كلمات اغاني

Loading...

[intro]
aye ceezy pass me the lighter
yoh ceezy pass me the lighter

mi huingia base naitinga geri haijali makali mapinga
ngeus alitry kunitinga shida alipata kundule imetingwa, nilipatwa niki..aaah aye aye yeah yeah
yeah yeah yeah

[verse 1]
mi huingia base naitinga geri haijali makali mapinga , ngeus alitry kunitinga shida alipata kundule imetingwa
nilipatwa nikiseti nikashikwa nikauliza mambang’a mnadai mapinga , we ulikuwa wa kwanza kunitoka sai unateta ati bouti anaringa
mi nimelelewa jiji tangu enzi za maboro na fila
kukuwa mauru lazima tangu niingiage na braids mbicha
hata wahenga walinena bado walidedi na stori ikaskika , so ata ukichotwa na dinga onyesha hiyo ndole ukizima (haa)

[chorus]
mbona you mad? mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint , mbona unapenda kucuddle na unajua unadaingi band
mbona you mad? mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint , mbona unapenda cat na unajua unadaingi bang (aye aye)

[verse 2]
mbona sitense mbona nipate maganji nisiflex , mbona ni yengs hufanya maboy waingie kwa dent? mbona kairetu aliendaga na boy w_ngu mengo? mbona ni sare na nyi mko kwa keja na pool na benz?
(ha ha ) ka si midesh (ha) vile na (ah ah) barafu kwa neck, shawty ni snake (ah) nakata the neck (ah) bouti the shrap god ikiwa na ceezy ni banger
siku hizi the boys are faithful ukitry kuzoza mabooster faithful, vile maboy wanabonga mi hucheka na team tukikula ndengu, ju ya mahali nimetoka kurudi sidhani i’m able, so ukishika makali utanyongwa bouti an_z_di kusonga
(ha)
[chorus]
mbona you mad? mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint , mbona unapenda kucuddle na unajua unadaingi bang
mbona you mad? mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint mbona unapenda cat na unajua unadaingi bang

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...