kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bossbele - mapenzini كلمات الأغنية

Loading...

verse1:
mikutano ya siri, kwenye kiza kinene
hukutaka subiri, nikamate mapenny
ungeweza kukiri, mi ningejikita kwingine
umeficha… ona muziki munene

ahaa

bridge:
au hii ndo gharama, ya kukupenda wewe
mzigo wa lawama, najibebesha mwenyewe
nakutakia salama, tutakutana mbeleni
namuonea huruma, mwenzangu na mimi

chorus:
kutwa umenuna
ukiitwa unachuna
amani hakuna
mapenzi oh, mapenzi oh oh…

verse2:
hivi ulikosa nini, kutaka kwangu upewe
kama maisha uliwini, ilibaki uolewe
mabuzi wote nchini, masharobaro mjini
bado ukang’ang’ana nami, lakini kwanini…

ahaa

bridge:
au hii ndo gharama, ya kukupenda wewe
mzigo wa lawama, najibebesha mwenyewe
nakutakia salama, tutakutana mbeleni
namuonea huruma, mwenzangu na mimi..

oh oh…

chorus:
kutwa umenuna
ukiitwa unachuna
amani hakuna
mapenzi oh, mapenzi oh oh…

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...