
bosco nshuti - amenipitia lyrics
Loading...
lyrics
chorus/
na mimi niko katika wale ambao amewapitia nikiwa na huzuni akanirehemu kwa upendo akaniokoa nakuniponya amelipa deni zangu zote
verse1/
upendo usiyo fananishwa rehema ambazo haziishi hayo ndiyo mfalme w_ngu alinionyesha pale nilikuwa sina wakunijali waaandishi na makuhani wote wamenipitia wakaondoka yeye alipo nipitiya na upendo mwingi akanirehemu kwa fadhili
verse/2
aliniponya kwa mafuta ya gharama kubwa akafunika jeraha zote nilikuwanazo
bridge/
nitaimba upendo wa mwokozi ulionitowa
gizani nitajivuniya msalaba wa yesu
كلمات أغنية عشوائية
- lars demian - ...till den fria kärleken lyrics
- darren styles - save me - original hardcore edit lyrics
- eden xo - dance monkey lyrics
- glee cast - pony lyrics
- j lye - we sippin' lyrics
- shane & shane - your great name lyrics
- xv - i'm back lyrics
- da grym reefer - do u care lyrics
- wacko - boissoncament lyrics
- aidonia - tell me lyrics