
boogie.ty - what the business كلمات أغنية
verse 1
manze ni magwiji, akili ni kali
bro ako road, anapiga safari
drip ni legit, naflex kwa ferrari
hatucheki na ops, no tunda, no dhambi
wale ma_drillers wakicheki ni rally
shawty anasema mi ndo kachumbari
ukicheza na mrasta, utakula makali
vibe ni lit, bila chocha, no bali
chorus
what the business?
we don’t talk, just flip it
two bad tings in the ride, no witness
steppa, i’m known for the fitness
what the business?
too much sauce, i drip it
too much talk, just spin it
mwaga hiyo mix, let’s sip it!
verse 2
game imechange, lakini na_roll
kijana wa mtaa, bado na_grow
beef si ya wote, tunachagua foe
rizz on 10, baby anadai mo’
juu ya mboka, nakata ka pro
pesa kwa meza, no story ya bro
hali ni noma, lakini tunaglow
what the business? usituulize so!
verse 3
mbogi na bang, energy high
ukichеza na team, utawekwa kwa chai
tukiingia kwa club, kila mtu anadai
manadriller na rucio, tunakam na supply
kama ni beef, tunapiga na fry
huku ni city, tunachеza na sky
zile ma_rhymes, ukizisikia ni die
mi ni skepta wa ghetto, sina haja ya try
chorus
what the business?
we don’t talk, just flip it
two bad tings in the ride, no witness
steppa, i’m known for the fitness
what the business?
too much sauce, i drip it
too much talk, just spin it
mwaga hiyo mix, let’s sip it!
verse 4
pesa ni clean, lakini naflip
shawty anashake, anataka ma_drip
hapa ni business, hakuna ma_slip
tunacheza na notes, siwezi ma_skip
mbogi na gang, tunaride na ship
siwezi ni_dip, bado na_keep
flex kwa block, tunashoot kama clip
what the business? wacha ni_trip!
verse 5
nakuja na fire, moto ni lethal (grrr!)
flow imepanda, levels ni evil (woo!)
ops wanajaribu, lakini si equal (nah!)
tunakam na st__ze, hatuna rival (bow!)
magwiji kwa scene, big up kwa sequel (yeah!)
bara hadi coast, wanasema ni regal (woo!)
what the business? tunaweka kwa needle (grrr!)
game ni ya ghetto, si ya cathedral! (bow!)
كلمات أغنية عشوائية
- aggressive kansas - look alive كلمات أغنية
- ojd - gone! كلمات أغنية
- jake daws - manipulator كلمات أغنية
- joe crepúsculo - tecnocasa كلمات أغنية
- ozuna - te marchaste كلمات أغنية
- esham - i was only kidding كلمات أغنية
- nia - start a fire كلمات أغنية
- de plug - babybaby كلمات أغنية
- skatal - angel كلمات أغنية
- 5thy - savage pt. ii كلمات أغنية