bony kichaa - kuna siku كلمات الأغنية
song:kuna siku
artist:bony kichaa
verse:1
kuna siku naamka me nawaza
mf-koni sina kitu mimi tumbo halijasaza
navumilimia mateso nanyamaza
najua napata kesho najikaza
kuna siku niko far,sina car
ya kurudi ninapokaa,nina njaa
kuna siku nina chapaa
nakunywa nalewa sometime nalala bar
naponda raha
watoto home w-n-lala njaa
kuna nayamiss maisha ya mtaa
kuna siku natamani nisichoweza kuwa nacho
nakula kwa macho
napanga mipango
sikati tamaa najua ugumu n mwanzo
mimi n-z-di kuhursle
kuna siku natamani mimi niwe na kw-ngu
niwe na changu
niwe na gari yangu nmechoka matatoo
kuna siku natamani kujichora matatoo
kuna siku napata kuna siku nakosa
toka nmekua kuna mengi nmeona
mungu nisamehe kuna siku nmepora
kuna siku natamani natenda dhambi natubu
sitaki maneno naamua nakua bubu
maisha yanakuwa magumu nahisi nmepigwa juju
nataka sipati,tamaa sikati
mashaka zake nyakati
kuna siku!
natizama photo
msoto unafanya nitamani utoto
kuna siku!
mimi tajiri wa ndoto
njaa inafanya nik-mbuke kiporo
kuna siku!
nayawaza mapenzi
namuwaza mpenzi mpenzi wa enzi
silali nakesha
hayo yote kisa ni mawazo yapesa
mawazo ya keja
yananipa hope kuna siku nitajenga
kuna siku!
nak-mbuka marafiki walio r.i.p
naamini kuna siku watakuwa na mimi
{bridge}
kuna sikuuu!!!!!!kuna siiiiiku kuna siku
aaaaaahhhh!!!!!
natizama mbinguni namuona mungu baba
{repetion}
kuna siku naamka me nawaza
mf-koni sina kitu mimi tumbo halijasaza
navumilimia mateso nanyamaza
najua napata kesho najikaza
kuna siku niko far,sina car
ya kurudi ninapokaa,nina njaa
kuna siku nina chapaa
nakunywa nalewa sometime nalala bar
naponda raha
watoto home w-n-lala njaa
kuna nayamiss maisha ya mtaa
kuna siku natamani nisichoweza kuwa nacho
nakula kwa macho
napanga mipango
sikati tamaa najua ugumu n mwanzo
mimi n-z-di kuhursle
kuna siku natamani mimi niwe na kw-ngu
niwe na changu
niwe na gari yangu nmechoka matatoo
kuna siku natamani kujichora matatoo
kuna siku napata kuna siku nakosa
toka nmekua kuna mengi nmeona
mungu nisamehe kuna siku nmepora
kuna siku natamani natenda dhambi natubu
sitaki maneno naamua nakua bubu
maisha yanakuwa magumu nahisi nmepigwa juju
nataka sipati,tamaa sikati
mashaka zake nyakati
kuna siku!
natizama photo
msoto unafanya nitamani utoto
kuna siku!
mimi tajiri wa ndoto
njaa inafanya nik-mbuke kiporo
kuna siku!
nayawaza mapenzi
namuwaza mpenzi mpenzi wa enzi
silali nakesha
hayo yote kisa ni mawazo yapesa
mawazo ya keja
كلمات أغنية عشوائية
- the magnetic fields - the luckiest guy on the lower east side كلمات الأغنية
- st james rebecca - a cold heart turns (1996) كلمات الأغنية
- the magnetic fields - the things we did and didn't do كلمات الأغنية
- the magnetic fields - the night you can't remember كلمات الأغنية
- the magnetic fields - the trouble i've been looking for كلمات الأغنية
- the magnetic fields - the village in the morning كلمات الأغنية
- the magnetic fields - the way you said good-night كلمات الأغنية
- the magnetic fields - torn green velvet eyes كلمات الأغنية
- the magnetic fields - tokyo a go-go كلمات الأغنية
- stillwater - mind bender كلمات الأغنية