bonihasto boni p - imeshatoka كلمات الأغنية
[intro]
the wait is over hommie
imeshatoka
bonihasto
its my time bro
yeah(ay)
yeah(ay)
get em boy
[verse 1]
nakuteka hizo hisia,n-z-di kukupa hamu
naongeza ile fleva,nafungua ufahamu
ni pumzi ya kitaa,nabuluza am to pm
ushtuke nilivyokita,nishasign kwa hii gemu
mi habari yenye dosari,vp mcs wataikabili
moyo jasiri hodari,mifumo yao nabadil
flow kesi jinai,wanasema boy hufai
nimemasta huu ujuzi,hapa vina havipumui
ni speed ya light,full energy sikai
nishaluzi gravity,nafly over sky
nashuti starz,nisome kwa hizo chat
call me the g*nius,akili huru hawanipati
imeshatoka bang bang,napasua hizo spika
i do my thang thang,kila kona inaitika
tangu a nipo sober,im xo ill najikataa
nacross kila boda,kwa hii swahili ninang’aa
hii ni zaid ya,ucwaze lini itafifia
sio pekee unayenigwaya,hata ticha wako anahofia
nimesuk-ma kete jiwe,cjui nani alaumiwe
mi ndiye yule asubiriwaye,wacha shangwe nipigiwe
kama punch kuvuka line,boni p kwa jukwaa
timer isharead zero,hii ni finger kwa trigger
imeshatoka kwa kishindo,camera usiache tukio
hii ya leo co,cunaona matokeo bro(matokeo bro)
[hook]
imeshatoka haiwezi zuilika
imeshatoka usiwaze lini itadondoka
imeshatoka haiwezi zuilika
imeshatoka usiwaze lini itazimika
green city,dar city(imeshatoka)
rocky city,a city(imeshatoka)
eastside,westside(imeshatoka)
northside,southside(imeshatoka)
usiwaze lini itadondoka(imeshatoka)
haiwezi zuilika (imeshatoka)
usiwaze lini itazimika(imeshatoka)
all over inasikika(imeshatoka)
[verse 2]
nimejibidisha na haya maisha,kulala brain imebisha
nimehakikisha na kisha,hii hatua sitorudisha
bonihasto na hii chance,navunja bila wasi
nahalla na ma fans,make some noise
brain stressless,swagga press upesi
smile on da face,hiz lines zinakuimpress
im on the right track,boy utanieleza nini
mbeya city on ma back,know wat i mean
haikaliki im on fire,natoboa kila layer
wanasema siko fair,ninuburn bila care
hard imara,image tofauti hatufanani
discipline kila bar,im so crazy cjitamani
kama kiburi a to z,waeleze sitochange
hii jeuri imebidi,nipo real till i die
step moja inakupa headache,ya nini unahate
stop playing fake,kunizuia upo late
imeshatoka shoryt,haiwezi rudi ndani
ulivyos-xy hilo body,nipo ready uwanjani
nascore kila shot,like bb player
i hit da spot,she z like ohh yeahhhh
nahitaji kuspread,kama miale ya uv
kuuza izo copy, kama ile muvi
nitazame unavyoniona,yeahh ilipangwa kuwa ivi
mi ndiye yule mwana,nicheki kwa audio mpaka tv
[hook]
[outro]
yeah somebody ahhhh
i told ya n-gga
b-on_i has to b-on p
bonihasto boni p
greencity baby
eyo tanzania,i c ya
2012(twenty dozen)
كلمات أغنية عشوائية
- barrington - radio كلمات الأغنية
- abbey lindsey - i can't fall asleep كلمات الأغنية
- xavier weeks - pink whitneyy كلمات الأغنية
- justice - waters of nazareth x audio, video, disco كلمات الأغنية
- danger man - boon dum كلمات الأغنية
- ale berraquero & miranda - tiritando كلمات الأغنية
- justin nech - little lady كلمات الأغنية
- snowier - бездарь (mediocrity) كلمات الأغنية
- infinity crush - duh كلمات الأغنية
- domingo cruz - stonks كلمات الأغنية