kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bonge la nyau - waridi كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
he!
born eyes
(what?)
ayo, (?)
iye’
(meck)
ni born eyes
love you, baby girl

[verse 1: born eyes]
huyo baby (yeah)
huyo baby (yeye)
huyo baby
kapendeza macho yangu
huyo baby
kanitawala moyo w_ngu
huyo baby
kapandisha chati yangu

[verse 2: born eyes]
nitamtembeza kote
nikawaeleze wote
nampenda pekee yake
nampenda
nampenda
nitambembeleza zeze
kwenye shida ni mliwaze
kwa heshima nitangaze
nampenda
nampenda
[pre_chorus: born eyes]
yeye, yeye
mm
mm
mm
mm
mm
nampenda
nampenda
mm
mm
mm
mm
mm
nampenda
nampenda
hey

[chorus: born eyes]
nimezama
waridi, waridi
waridi, waridi
waridi, waridi
waridi, waridi

[post_chorus: born eyes & bonge la nyau]
huyo, huyo
(namuona eh)
huyo, huyo
(namuona)
huyo, huyo
mm
namuona
(huyo, huyo)
mimi namuona eh
yeah
nyauloso
uh
[verse 3: bonge la nyau & born eyes]
eh, bwana
na kwenye mapenzi
kuna kitu mi nahitaji (uh)
umpate waubani
rehema za muumbaji
na ukipenda mapenzi
basi usiwe mzugaji
kijana pambana ili upate mahitaji
mfano mi na mama
nimemshiba kwa raha
amenishika balaa
sijiwezi jamaa
naogopa kuwa kichaa
nikikosa hizi raha
nitake nini tena, sitaki takataka
uh
mama kanizaa man
mola kanipa brain
bila complain ‘mtoto ka falling
oya ‘wanangu eh (eh)
mi sindio mwanaenu?
nitoe wapi ubavu wa k_muacha shem wenu
(uh)
machizi, eh
(waridi, waridi)
mi sindio mwanaenu?
nitoe wapi ubavu wa k_muacha mama yenu
[chorus: born eyes]
waridi, waridi
waridi, waridi
waridi, waridi

[post_chorus: born eyes]
huyo, huyo
(namuona eh)
huyo, huyo
(namuona)
huyo, huyo
mm
namuona
(huyo, huyo)
mimi namuona eh

[hook: born eyes]
mm
mm
mm
mm
mm
(yeye)
nampenda
nampenda
(yeye)
mm
mm
mm
mm
(yeye)
mm
mm
mm
nampenda
nampenda
hey

[outro]
nimezama

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...