bonge la nyau - nipe matamu كلمات الأغنية
[intro: khadija kopa]
mmm
hey, hey, hey, hey…
terrano music
mmm
oh…
ah, ah, ah… (oh, oh)
ah, ah, ah… (oh, oh)
ah, ah, ah… (oh, oh)
ah, ah, ah…
[pre_chorus: khadija kopa]
naomba unipende
utamu wa moyo, ‘usiende kwa mwengine
nami nikupende
niwe mchoyo, ‘nisimpe mwingine
naomba unipende
utamu wa moyo, ‘usiende kwa mwengine
nami nikupende
niwe mchoyo, ‘nisimpe mwingine
[chorus: khadija kopa & bonge la nyau]
baby nipe matamu, ‘penzi
baby nipe matamu, ‘penzi
nipe matamu, unipoze moyo
baby nipe matamu (habibi)
baby nipe matamu (oh)
honey, nipe matamu
siku hii ya leo
uh
yes!
[verse 1: bonge la nyau]
mwili wako ni mradi ‘mi mwekezaji
mungu kanipa zawadi ‘we zamaradi
uzuri ndio lako taji, na mahitaji, uh
mi na kipaji cha umaridadi
achana na wababaishaji ‘wanajinadi
tufatе dini na itikadi
ili mradi nikizi mahitaji
tuzidi k_muomba mungu ‘ye ndio mpaji
kuzaliwa mwanaume ni mateso
mapеnzi bila pesa ni vichekesho
acheni nilime leo ili tuvune kesho
tupate uelekeo ‘na tupunguze mazito
[hook: bonge la nyau]
mapenzi ‘ni mfano wa bahari
tuitunze yetu siri
wapita njia, wasiikariri
siwezi ‘kuamua kwenda mbali
wakati unanipenda na kunijali
tuombe mungu na tuswali
[pre_chorus: khadija kopa]
naomba unipende
utamu wa moyo, ‘usiende kwa mwengine
nami nikupende
niwe mchoyo, ‘nisimpe mwingine
naomba unipende
utamu wa moyo, ‘usiende kwa mwengine
nami nikupende
niwe mchoyo, ‘nisimpe mwingine
[chorus: khadija kopa & bonge la nyau]
baby nipe matamu, ‘penzi
baby nipe matamu, ‘penzi
nipe matamu, unipoze moyo
baby nipe matamu (habibi)
baby nipe matamu (oh)
honey, nipe matamu
siku hii ya leo
yes!
uh, uh
[verse 2: bonge la nyau]
nitakupa mapenzi ‘yenye wingi wa raha
umetulia na mnyamwezi ‘ki staa
mf_ko una cash, no jau
watapata tabu sana, ‘we ndio queen wa dar
everything i do ‘i came from a woman
popote tuko pea ‘yaani burudani
hata ukiongea niko cool, man
bidada katulia yuko nyumbani
mtoto king’ari, ng’ari (ng’ari)
mi kwako nimepaki gari (gari)
disemba to januari (ari)
usiku kwa jua kali
[pre_chorus: khadija kopa]
naomba unipende
utamu wa moyo, ‘usiende kwa mwengine
nami nikupende
niwe mchoyo, ‘nisimpe mwingine
naomba unipende
utamu wa moyo, ‘usiende kwa mwengine
nami nikupende
niwe mchoyo, ‘nisimpe mwingine
[chorus: khadija kopa & bonge la nyau]
baby nipe matamu, ‘penzi
baby nipe matamu, ‘penzi
nipe matamu, unipoze moyo
baby nipe matamu (habibi)
baby nipe matamu (oh)
honey, nipe matamu
siku hii ya leo
[outro: khadija kopa & bonge la nyau]
uh, uh, uh, uh, uh, uh
niko na bonge la nyau
lina parura (lina parura)
…
na mama khadija omar kopa, twende!
mudy kipara, mr. upara, eh
queen linna toto
terrano music
amiga tyga
كلمات أغنية عشوائية
- kojaque - bambi كلمات الأغنية
- buba miranovic - kišni ljudi كلمات الأغنية
- готэм (gotham) (rus) - приметы كلمات الأغنية
- иnkkи - euphor!a كلمات الأغنية
- btchn - dreamer (original-predates illegal remix & sales by darkmoneyz) كلمات الأغنية
- jamiekys! - come to the spot كلمات الأغنية
- yoshi (per) - suficientepuntowav كلمات الأغنية
- the cinema - i'll be there كلمات الأغنية
- saru (singer) - time wasted - acoustic version كلمات الأغنية
- cottontail - santa’s little helpers (daycore) [remix] كلمات الأغنية