bonge la nyau - huba كلمات الأغنية
[intro]
what?
(what?)
expensive rapper
(expensive rapper)
loso
nyauloso
(nyauloso)
[bacterially]
[pre_chorus]
goma likeshe
goma likeshe
tuwakomeshe
tuwakomeshe
wanangu tuveshe
wanangu tuveshe
kieleweke
kieleweke
[verse 1]
wanangu wa ghetto (oya)
tuchangeni dusko (oya)
twende ma_disko (oya)
hatulali mpaka kesho (oya)
wanangu wa buza na keko (oya)
vyuoni na seco (oya)
leteni watoto (oya)
mwiko kutumia dettol (oya)
usilete kokoro (oya)
mwenzako sipendi migogoro (oya)
goma lipo kila chochoro (oya)
mizuka ya kiza totoro (oya)
[hook]
usilete kokoro (oya)
mwеnzako sipendi migogoro (oh, yeah)
goma lipo kila chochoro (oya)
mizuka ya kiza totoro (oya)
[chorus]
nipe huba
wе dada
nigande kama ruba
we dada
nipe huba
we dada
nigande kama ruba
we dada
[post_chorus]
siamini
siamini
anapenda zangu melody
nakusihi
nakusihi
usiniache kwenye baridi
[verse 2]
usinipe kidogo
nipe nzima, nzima
usinipe nusu na robo
taratibu moyo w_ngu mi una tobo
mawenge sitaki
mwenzako na hasira za mbogo
(mwenzako na hasira za mbogo)
yeah, yeah
hapo penye
ilegeze, itekenye
nakapiga mjegeje
spidi ‘kiberenge
[hook]
usilete kokoro (oya)
mwenzako sipendi migogoro (oh, yeah)
goma lipo kila chochoro (oya)
mizuka ya kiza totoro (oya)
[chorus]
nipe huba (oh, yeah)
we dada (woah yeah)
nigande kama ruba
we dada (woah yeah)
nipe huba
we dada (woah yeah, yeah)
nigande kama ruba
we dada
(yeah, yeah, yeah)
(woah yeah, yeah)
(woah yeah, yeah, yeah)
[outro]
siamini
siamini
anapenda zangu melody
nakusihi
nakusihi
usiniache kwenye baridi
كلمات أغنية عشوائية
- otaly - diana's memory كلمات الأغنية
- johnny rain - harveston lake (11) كلمات الأغنية
- dee-1 - stranger كلمات الأغنية
- tes uno - count of kings كلمات الأغنية
- thepharaon - snow كلمات الأغنية
- stat - nothing كلمات الأغنية
- scaredkrow & lushroom - oh no كلمات الأغنية
- killarmy - fair, love and war كلمات الأغنية
- 8ball & mjg - lay it down (live) كلمات الأغنية
- marco antonio solís - lo mejor para los dos by marco antonio solís كلمات الأغنية