kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bonge la nyau - homa ya mapenzi كلمات الأغنية

Loading...

[intro: bonge la nyau & barakah the prince]
he_he
nyauloso
(mm, mm, mm, mm, mm_mmm)
(terrano music)
amiga tyga
(…aaah)

[pre_chorus: barakah the prince]
usiku, mchana kutwa ‘naonekana mimi kama zuzu
‘najihurumia
ungejua mateso ya mapenzi yanavyo sulubu
‘ungenihurumia
j_po we sio w_ngu
yote nafanya ni mapito
nabaki k_muachia mungu ‘na kusema

[chorus: baraka the prince & bonge la nyau]
nabaki kulaumu moyo (aah)
moyo (aah)
naulaumu moyo (aah)
ndio unao ng’ang’ania
naulaumu moyo (aah)
moyo, moyo (aah)
naulaumu moyo (aah)
yes!
ndio unao kung’ang’ania
[verse 1: bonge la nyau]
aliyekuwa na utajiri ni kuishi milele
mali na pesa nyingi ‘zote kelele, uh
janjaruka, ota mbawa
wengine mapenzi chawa
twende sawa
wakufunikiwa ‘kawa (what?)
mwenzio nimekunawa (uh)
nimesagala usiku kucha
‘ili nikutunze
nimekwenda pupa, pupa
‘nizisunde
umeniangusha
‘umenifanya nikonde
moyo umeugusa, gusa
‘nisipende

[hook: bonge la nyau]
uh
siku hizi hawapendi ‘wanatamani
hata uwape nini wanadamu
no_no_no
unaweza fanya kitu cha thamani
na bado asiridhike mwanadamu
no_no_no
uh
kama unauziwa bidhaa ya bandia
wanaodhubutu kuitana malkia
tapeli katapeliwa
oh, tapeli kaumia
hii ni homa ya mapenzi na ni homa ya dunia
[chorus: baraka the prince]
mchana kutwa ‘naonekana mimi kama zuzu
‘najihurumia
ungejua mateso ya mapenzi yanavyo sulubu
‘ungenihurumia
j_po we sio w_ngu
yote nafanya ni mapito
nabaki k_muachia mungu ‘na kusema

[chorus: baraka the prince]
nabaki kulaumu moyo (aah)
moyo (aah)
naulaumu moyo (aah)
ndio unao ng’ang’ania
naulaumu moyo (aah)
moyo, moyo (aah)
naulaumu moyo (aah)
ndio unao kung’ang’ania

[verse 3: bonge la nyau]
uh
ndio maana naogopa mapenzi
sababu hayatabiriki
mwenye maisha mazuri
anampenda mwenye dhiki
madada wa mjini ‘wanataka wanamuziki
sikuhizi hadi mala_, ‘anataka hati miliki
hayana masters, hayana degree
hayana rasta, hayana u_’h.b
yamegawanyika ‘kwenye kila rika
wana aibika wenye kila sifa, uh
[hook: bonge la nyau]
uh
siku hizi hawapendi ‘wanatamani
hata uwape nini wanadamu
no_no_no
unaweza fanya kitu cha thamani
na bado asiridhike mwanadamu
no_no_no
uh
kama unauziwa bidhaa ya bandia
wanaodhubutu kuitana malkia
tapeli katapeliwa
oh, tapeli kaumia
hii ni homa ya mapenzi na ni homa ya dunia

[chorus: baraka the prince]
mchana kutwa ‘naonekana mimi kama zuzu
‘najihurumia
ungejua mateso ya mapenzi yanavyo sulubu
‘ungenihurumia
j_po we sio w_ngu
yote nafanya ni mapito
nabaki k_muachia mungu ‘na kusema

[chorus: baraka the prince]
nabaki kulaumu moyo (aah)
moyo (aah)
naulaumu moyo (aah)
ndio unao ng’ang’ania
naulaumu moyo (aah)
moyo, moyo (aah)
naulaumu moyo (aah)
ndio unao kung’ang’ania

[outro: bonge la nyau]
mudy kipara _n_lia, eh
hih!
wideh_deh ‘classic
terrano music
jacky umeme

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...