kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

blue stars modern taarab uganda – mtoto wakiafrica كلمات اغاني

Loading...

chorus:
mtoto wakiafrica nakupenda- jinsi olivyo umbika ni wewe tiu
macho yako wewe- unavyo ya rembua mimi kwako kweli ni meditate
verse 1
ni wewe nikupendaye- w-ngu ulo na thamani
na ndiwe unifaaye- mjuzi kwenye makini
katu sikuachi miye- wakerekao poleni
chorus
verse 2
mimi nakutaja wewe- w-ngu baby mahashumu
simuoni mwenginewe- na hili piya fahamu
hata sumu tuekewe- mi nawe hadi kiyamu
chorus
verse 3
basi imani fanyiza- unitowe kwenye taabu
usiwe unaniliza- mpenzi w-ngu swahibu
ukini fanyia iza – mwenzio wani adhibu
chorus
verse 4
moyo w-ngu umependa – uwe w-ngu laazizi
usini fanyie inda -jicho likatowa chozi
hebu sema wanipenda – niridhike nalo penzi
chorus
end

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...