kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

blinky bill - mungu halali كلمات الأغنية

Loading...

[chorus: blinky bill]
nimepitia majanga majubwa lakini mungu halali, oh
ningepotea nisipatikane lakini mungu halali, oh
nasema kweli
oooooh ooh mungu halali, oh
oooooh ooh mungu halali, oh

[verse 1: blinky bill]
si lazima unikumbushe kuwa mimi mwenye dhambi
najua tena sana, oh
najijua tena sana, oh ooooh
si lazima useme kuwa mnyonge kweli hana haki
naona kila siku, oh
tunaona kila siku, oh ooooh
kwa neema nasimama, ile mwamba ni salama
binadamu hanitishi, mimi natembea kwa imani, eh
kwa neema nasimama, ile mwamba ni salama
binadamu hanitishi, mimi natembea kwa imani

[chorus: blinky bill]
nimepitia majanga majubwa lakini mungu halali, oh
ningepotea nisipatikane lakini mungu halali, oh
nasema kweli
oooooh ooh mungu halali, oh
oooooh ooh mungu halali, oh

[bridge]
ashajionyesha, anajionyesha, atajionyesha
ashajionyesha, atajionyesha

[verse 2: wambura mitaru]
hanging in the hustle of life as i become
something much more than i could try
tried in the shadow of death, oh i arose
and i have lived beyond my path
though you beat me down (i won’t stay down)
though you kick me down (i won’t stay down)
though you beat me down (i won’t stay down)
though you kick me down

[chorus]
nimepitia majanga majubwa lakini mungu halali, oh
ningepotea nisipatikane lakini mungu halali, oh
nasema kweli
oooooh ooh mungu halali, oh
oooooh ooh mungu halali, oh

[outro: blinky bill]
ashajionyesha, anajionyesha, atajionyesha
ashajionyesha, atajionyesha

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...