kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

blessed paul - rafiki mwema كلمات الأغنية

Loading...

nimebaki peke yangu
naumia ooh no
nilodhani rafiki zangu
wameniacha solo
majirani udhaifu w_ngu
waufanyia promo
niufiche wapi uso w_ngu
ila kwako baba

wa ndani rafiki, meninywesha siki
wakati wa dhiki, mekuwa kisiki
limdhani wa dhati, k_mbe ni judas
kwa shilingi thirty, amenisaliti
wa ndani rafiki, meninywesha siki
wakati wa dhiki, mekuwa kisiki
limdhani wa dhati, k_mbe ni judas
kwa shilingi thirty, amenisaliti

rafiki ni wewe, rafiki ni wewe, yesu, rafiki mwema
rafiki ni wewe, rafiki ni wewe, yesu, rafiki mwema

nitainua macho yangu
nitazame milimani
msaada w_ngu watoka wapi
ila kwako baba
nitatandaza mipango yangu
na niombe kwa imani
wokovu w_ngu watoka wapi
hakika nikwako baba
wa ndani rafiki, meninywesha siki
wakati wa dhiki, mekuwa kisiki
limdhani wa dhati, k_mbe ni judas
kwa shilingi thirty, amenisaliti
wa ndani rafiki, meninywesha siki
wakati wa dhiki, mekuwa kisiki
limdhani wa dhati, k_mbe ni judas
kwa shilingi thirty, amenisaliti

rafiki ni wewe, rafiki ni wewе, yesu, rafiki mwema
rafiki ni wewе, rafiki ni wewe, yesu, rafiki mwema

oooh oooh oooh oooh oooh rafiki mwema
rafiki ni wewe, rafiki ni wewe, yesu, rafiki mwema

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...