kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

blessed paul - ni wewe lyrics

Loading...

ni wewe lyrics by blessed paul

ahaaa!
blessed paul
kibbz muzik
kalpop music

nimeona malaika wakipanda, na ngazi wanashuka
k_mbe, sababu yake, nimelalia jiwe
hasira zimepanda, daudi anashuka
k_mbe, kombeo lake amelitia jiwe
unang’ang’ana na nguo za sauli, mkuki na upanga mkononi
mwenyewe keshalemewa, utaiweza vita
tunapingana kwa roho si kwa mwili, ushindi tumepata we uoni
na yhwh kwenye msalaba, alimaliza vita

nimeona mawingu yakitanda, ila giza latoweka
k_mbe ni nuru yake, inaniangazia
kibatari nimewasha, mafichoni sijaweka
nia, ni nuru yake, niangazie njia

chorus#
ni wewe, yesu
ni wewe, mwamba
ni wewe, yesu, ushindi w_ngu
ni wewe, yesu
ni wewe, mwamba
ni wewe, yesu, ushindi w_ngu
unang’ang’ana na nguo za sauli, (weeh) mkuki na upanga mkononi
mwenyewe keshalemewa, utaiweza vita
tunapingana kwa roho si kwa mwili, (mmh) ushindi tumepata we uoni
na yhwh kwenye msalaba, alimaliza vita
kwenye msalaba, alimaliza vita

chorus#
ni wewe, yesu
hakuna kama wewe bwana, mwamba
ni wewe, yesu, ushindi w_ngu
jemedari kimbilio tegemeo ni wee, yesu
eeh, mwamba
ni wewe, yesu, ushindi w_ngu
oooh ni wewe, yesu
wewe, mwamba
ni wewe, yesu, ushindi w_ngu
aah ni wewe, yesu
ni wewe, mwamba
ni wewe, yesu… mwokozi w_ngu

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...