bismark musiq - zitambe كلمات الأغنية
intro
reign and shine
left and right let them know
let them know you’re truth and the life
reign and shine
left and right king jesus you’re the truth and the life
verse 1
uliyeumba mbingu na nchi ndiwe pekee umetoshea kuitwa nissi aah
unayejua mbivu na mbichi ukitokea mapepo yote yapiga mbizi my god
ipo siku kila goti litabow down
shetani na shemeji zake watabow down
waliosimama na ukweli wote heaven bound heaven bound yeiyeh
ni wewe tuu hata wapinge kila siku wema wako mimi nitaconfess
ni wewee kote kote wacha sifa zako mola na zitambe
chorus
eeeh wacha sifa zako na zitambe
hata wapinge kaskazini na kusini na zitambe
bwana wacha sifa zako na zitambe
let them know let them know, wacha sifa zako na zitambe
interlude
reign and shine left and right let them know let them know you’re truth and the life
reign and shine left and right king jesus you’re the truth and the life
verse 2
umekuwa nami kwa hali na mali
hujaniwacha kwa mbaya hali
daily daily kwako nitasali juu najua peke yangu siwezi kufika mbali
(umetukuka) nikik_mbuka ulikonitoa hata siwezi kujicontain
(umenik_mbuka) kama ingekuwa mwanadamu kila siku angecomplain
(ni wewe tu) hata wapinge kila siku wema wako nitaconfess
(ni wewe) kote kote wacha sifa zako mola na zitambe my
bridge
(zitambe zitambe) wacha sifa zako na zitambe
(zitambe zitambe) hata wapinge wema wako mimi bado nitaconfess
(zitambe zitambe) wacha sifa zako na zitambe
(zitambe zitambe)
east and west wacha sifa zako na zitambe
(zitambe zitambe)
hata wapinge wema wako mimi bado nitaconfess confess
(zitambe zitambe)
yeeeah wacha sifa zako na zitambe
(zitambe zitambe)
hata wapinge wema wako mimi bado nitaconfess
(zitambe zitambe)
east and west north and south zitambe
(zitambe zitambe)
yeiyeee yeiyeeh sifa zako na zitambe
(zitambe zitambe)
yeeeh
outro
hehehe
global
[end]
كلمات أغنية عشوائية
- mitch miller - children's marching song (nick nack paddy whack) كلمات الأغنية
- we are bravest - eventually (we all grow كلمات الأغنية
- tom t. hall - flat-foot' it كلمات الأغنية
- linda thompson - blue bleezin' blind drunk كلمات الأغنية
- paul bekk - confession كلمات الأغنية
- paty cantú - la que está en vez de mi كلمات الأغنية
- chitãozinho & xororó - chitãozinho e xororó كلمات الأغنية
- speedy ortiz - plough كلمات الأغنية
- lowen & navarro - i'll set you free كلمات الأغنية
- pill - big bank كلمات الأغنية