kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

billnass - maboss lyrics

Loading...

[intro]
hatuagizwi na maboss
sisi wenyewe maboss
wanatuombea mikosi
tunalindwa na sir god pekee
(kibab?ba, nenga)
badmon
mmm, mmm
(chu_, chupa imeamka na chai, ausio?)
s2kizzy, baby

[verse 1: billnas]
wanasema roho mbaya, roho mbaya kweli ninayo
nafanya makusudi kushinda hizo chuki zao
tena wanafki bado nakula nao, na hainipi shida riziki hawatoi wao
ex w_ngu anatamani niachike, nifubae, niishe, nidhalilike
adui zangu wanatamani wanizike
niwe choka mbaya, na mwisho nifilisike

[chorus]
hatuagizwi na maboss
sisi wenyewe maboss
wanatuombea mikosi
tunalindwa na sir god pekee
tena wanafosi, kutuona tuna lost
wanatuombea mikosi (yeah, yeah, ih)
tunalindwa na sir god pekee
[hook: billnas]
hao, hao, hao, hao
wananisema mimi, hawaoni yao
hao, hao, hao, hao
wakiomba mabaya yanarudi kwao
hao, hao, hao, hao
wananisema mimi, hawaoni yao
hao, hao, hao, hao
wakiomba mabaya yanarudi kwao

[chorus]
hatuagizwi na maboss
sisi wenyewe maboss
wanatuombea mikosi
tunalindwa na sir god pekee
tena wanafosi, kutuona tuna lost
wanatuombea mikosi (yeah, yeah, ih)
tunalindwa na sir god pekee

[drop]

[verse 2: billnas & jux]
eh
na hao marafiki wanafiki tunaishi nao
wana chuki utadhani labda, ‘tunaishi kwao
wanashindwa kurithi nyumba na mali za baba zao
cha kushangaza wanarithi tabia za dada zao
ex w_ngu anatamani niachike, nifubae, niishe, nidhalilikе
adui zangu wanatamani nizikwe
niwe choka mbaya, na mwisho nifilisike
[chorus]
hatuagizwi na maboss
sisi wеnyewe maboss
wanatuombea mikosi
tunalindwa na sir god pekee
tena wanafosi, kutuona tuna lost
wanatuombea mikosi
tunalindwa na sir god pekee

[hook: billnas]
hao, hao, hao, hao
wananisema mimi, hawaoni yao
hao, hao, hao, hao
wakiomba mabaya yanarudi kwao
hao, hao, hao, hao
wananisema mimi, hawaoni yao
hao, hao, hao, hao
wakiomba mabaya yanarudi kwao

[chorus]
hatuagizwi na maboss
sisi wenyewe maboss
wanatuombea mikosi
tunalindwa na sir god pekee
tena wanafosi, kutuona tuna lost
wanatuombea mikosi
tunalindwa na sir god pekee
[drop]

Random Lyrics

Hot Lyrics

Loading...