kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

billnass - boda lyrics

Loading...

[verse 1 : mbosso]
ndo kwanza tupo kilomita sita
funga mkanda bado hatujafika
huku njiani kuna vita
subira itahitajika
shida, mitihani
binadamu tumeumbiwa
na mapenzi ni burudani
toka enzi tuliambiwa
umeleta furaha
kipindi cha mashaka
moyo ulipakwa mikaa
umeutakasa sasa

[pre chorus : mbosso]
sababu sina, sina sababu
nikiulizwa nimependa nini
sina jawabu

[chorus : mbosso]
niwe wako boda boda (boda boda boda)
popote tutatembea (boda boda boda)
ooh, hutolipia feaa (boda boda boda)
foleni hutongojea

[verse 2 : billnass]
nakukamatia juu
nakukamatia chini
watu wote wanajua
nakukamatia mimi
wanafki, wambea
watakamatia nini?
acha waende waturoge
si tukamatie dini
story za mapenzi
si tunafaa
washasemaga mengi
miaka kadhaa
na bado tuna trend
usiku na saa
si uko na mnyamwezi?
kibana baa, kibana baa
[bridge : billnass]
habib ee
siri ndogo ndogo nifichie
kama nikikosa niambie
na nikipatia nisifie
unisifie, baby
habib ee
siri ndogo ndogo nifichie
kama nikikosa niambie
na nikipatia nisifie
unisifie

[pre chorus : mbosso]
sababu sina, sina sababu
nikiulizwa nimependa nini
sina jawabu

[chorus : mbosso]
niwe wako boda boda (boda boda boda)
popote tutatembea (boda boda boda)
ooh, hutolipia feaa (boda boda boda)
foleni hutongojеa

Random Lyrics

Hot Lyrics

Loading...