big fizzo - superman كلمات الأغنية
ooooh ooh oooh
unanipa bure so fine
hadi natamani kujuwa kakufunza nani,woman
mwanafunzi shule,mitihani
maradhi nimeuguwa,zile njonjo zako na utani
acha waseme umeniroga(roga)
sijali wanayo bwaga (bwaga)
eeeeh, baby you are my woman
(baby you′re my woman)
kama ugali na mboga, yako tamu imega
eeeh eeehh
moyoni futa mimi na wewe kuachana
let me be your superman
let me be your superman
na ikija vita niko tayali pambana
let me be your superman
let me be your super man ooh
juuu yako nafurahi(eeh nafurahi)
juu yako najidai, my woman
juu yako nafurahi (eeh nafurahi)
juu yako najidai, my woman
kama mapenzi ya ukweli ni furaha kujali
just follow me,follow me
waliokutesa na kukufanya usilali
ni wao sio mi,we ni follow me
follow,follow me
umeshafika,tulia
puuza wakikwambiya,kinachofata ni ndoa
na na na na na na
utamu umeshakolea
na mama nishamwambia
kwako nimejifia
moyoni futa mimi na wewe kuachana
let me be your superman
let me be your superman
na ikija vita niko tayali pambana
let me be your supper man
let me be your supper man ooh
juuu yako nafurahi (nafurahi)
juu yako najidai,my woman
juu yako nafurahi (eeh nafurahi)
juu yako najidai my woman
(moyoni futa mimi na wewe kuachana)
(let me be your supper man)
(let me be your supper man)
(let me be your supper man)
bantubwoy music
كلمات أغنية عشوائية
- mell - out flow كلمات الأغنية
- dna tru lyricist - lightspeed chopper كلمات الأغنية
- six feet under - psychosis كلمات الأغنية
- zonj3 - extra كلمات الأغنية
- caravan - pye's june thing كلمات الأغنية
- villanos - yo te doy كلمات الأغنية
- max b - champagne wishes كلمات الأغنية
- luciano messenjah - sitting and watching كلمات الأغنية
- cyz - ferve quando frevo كلمات الأغنية
- kingston trio - bad man's blunder كلمات الأغنية