bfg buliba - dogo dogo كلمات الأغنية
hii ni mziki bila pressure wacha ni rap tu kidogo
ni verse ya kwanza ngoja verse two kidogo
ikikubamba unaeza dance tu kidogo
huyu kijana wa kariobangi ako na vibes na si zogo
zitoke mosmos ni intro ya mziki safi
disturbance of the head kwa sasa morio sitaki
ju luku ni diriba angolo leather na khaki
monkey business peleka kwa zoo
ukitaka kubonga pupu peleka loo
inani_nice naveveka na crew
na design inawashika unaeza dhani ni flu
dogodogo jibambe leo usishy
na hii haina pressure zitoke na any style
cologne kwa umbali harufu fine
ati haujui kukatika ah aah? leo try
hii ni nice and slow tun_z_toka dogodogo
haina pupa hauezi choka dogodogo
tingisha kichwa na mabega dogodogo
na track ikikubamba unaeza cheza dogodogo
nipe left nipe left dogodogo
nipe right nipe right dogodogo
twende chini twende chini dogodogo
(aah ah) rudi juu bana dogodogo
do do do do dogodogo
dogo dogo dogodogo
take it slow take it slow dogodogo
do do do do dogodogo
hii ni slow but sure tuna trust process
tuko lembe hatuko nyuma kama back pocket
kama form hainijengi buda just forget
halafu pia ka haunipendi haha thats okay
tunasonga dogodogo hakuna step kubwa
cheki jah ananibless we una_hate buda
tuko mboka chini ya maji tukichase mula
mambo yangu brief kama height ya hesbulla
watch yourself usini_try kama bao ya ruggy
maji ikizidi unga tunapikanga uji
kila move inawa_mix unaeza dhani ni pudding
si ni wenyeji hapa jiji hatujafikanga juzi
dogodogo hii ni warm up bado na stretch
si uongo ukinisoma utaji_mess
sina ngori mi sina noma mi niko fresh
vibe ndio hii we skiza ngoma punguza stress
hii ni nice and slow tun_z_toka dogodogo
haina pupa hauezi choka dogodogo
tingisha kichwa na mabega dogodogo
na track ikikubamba unaeza cheza dogodogo
nipe left nipe left dogodogo
nipe right nipe right dogodogo
twende chini twende chini dogodogo
(aah ah) rudi juu bana dogodogo
do do do do dogodogo
dogo dogo dogodogo
take it slow take it slow dogodogo
do do do do dogodogo
hii ni nice and slow tun_z_toka dogodogo
haina pupa hauezi choka dogodogo
tingisha kichwa na mabega dogodogo
na track ikikubamba unaeza cheza dogodogo
nipe left nipe left dogodogo
nipe right nipe right dogodogo
twende chini twende chini dogodogo
(aah ah) rudi juu bana dogodogo
do do do do dogodogo
dogo dogo dogodogo
take it slow take it slow dogodogo
do do do do dogodogo
كلمات أغنية عشوائية
- zerbs - silence 'til it's said كلمات الأغنية
- hu i am - woes كلمات الأغنية
- hadestown original broadway cast - we raise our cups كلمات الأغنية
- frank turner - the death of dora hand كلمات الأغنية
- tauri - empty promises كلمات الأغنية
- throes + the shine - musseque كلمات الأغنية
- bquyet - options كلمات الأغنية
- stunde null - unsere tränen aus deinem gesicht كلمات الأغنية
- jimi hunydread - dance floor كلمات الأغنية
- strictly deigh - better days كلمات الأغنية