
bensoul - sugar rush كلمات أغنية
Loading...
je unak_mbuka
kule tumetoka
miaka imepita yeah (my love)
ona vile picha (mmmh)
jua likitua
nyota zinatangaza
kuwa nakupenda
na wewe unajua
unajua mama ma
mama my love
we ndo raha yangu
we ndo furaha yangu
my sugar my sugar rush
wewe ndo raha yangu
we ndo furaha yangu
mw_nga w_ngu
furaha yangu
raha yangu
je ungependa (mmmh)
tuonane tena
ju mi huku_miss sana (my love)
kila siku nakuwaza (oooh yeah)
jua likitua
mwezi utatangaza
bado nakupenda
wewe unajua
unajua mama ma
mama my love
we ndo raha yangu
we ndo furaha yangu
my sugar, my sugar rush
wewe ndo raha yangu
we ndo furaha yangu
mw_nga w_ngu
(uyee uyele uyelelele)
furaha yangu, raha yangu
(uyee uyele uyelelele)
كلمات أغنية عشوائية
- blxxdshed - you’llbedeadbeforesunrise كلمات أغنية
- sebutones - apocalypse party كلمات أغنية
- nixen - hopla كلمات أغنية
- freaky, pushing daizies & melonrose - breaking down كلمات أغنية
- cubbie - hör mir zu كلمات أغنية
- sharon van etten - fading beauty كلمات أغنية
- fay wildhagen - (let's keep it in the family) كلمات أغنية
- qjangle - марс 3 كلمات أغنية
- snh48 - 祝日 (zhùrì) كلمات أغنية
- lil uzi vert - kiss me again (remix) كلمات أغنية