kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bensoul - ogopa sana nairobi lyrics

Loading...

[verse 1]
habari mbaya zimenifikia
mandugu zangu wananikulia
k_mbe sahani yangu ni sinia
na inaniuma sana
yule mpenzi niliaminia
nikamuweka mbele ya dunia
i must be trippin’ nikikurudia
umenitesa sana

[chorus]
na_i_ro_bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana na_i_ro_bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana mama

[verse 2]
marashi yako yalinivutia
siku ya kwanza ulipopitia
k_mbe si mi pekee nilinusia
colander ya lavender
na mbogi yangu iliniambia
eti nikusare but sikusikia
i don’t wanna do this sh_t no more my dear
najuta kupendana
[chorus]
na_i_ro_bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana na_i_ro_bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana mama

gonga, gonga like (x5)

[verse 3]
wanahabari ninawapongeza
ujumbe w_ngu mmeufikisha
kwa raha zangu nawapakulia
na inanibamba sana
kutoka leo ninakujulisha
jina mpenzi ukinitupia
kwenye orodha we nakupepea

[chorus]
sorry si sorry
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
hii quality fare
sote tunashare
ogopa sana sorry si sorry
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
hii quality fare
sote tunashare
ogopa sana mama

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...