kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ben pol (tza) - sophia كلمات أغنية

Loading...

[intro]
mswaki!
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi

[verse 1]
sophia, sophia nikupeleke mpunguzi ah
sophia, sophia nikupeleke na mvumi ah
sophia, sophia nikupeleke na mazengo oh
sophia, sophia nikupeleke mkuungu

[chorus]
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi

[verse 2]
sophia w_ngu, mi nilizaliwa tanzania kanda ya kati
makao makuu, twende pamoja tukauone uzuri wa nchi
ndugu zangu wamakole, wakarimu wapole
wanataka wakuone kabla ya kurudi dar
wakupatie karanga, zabibu na uhemba
lazima uwak_mbuke ukifika dar
[chorus]
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi

[bridge]
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa

[outro]
twende dodoma (yele yele yele yele yeeh)
twende dodoma
twende dodoma (yele yele yele yele yeeh)
twende mamaaa
twende dodoma (yele yele yele yele yeeh)
twende dodoma
twende dodoma (yele yele yele yele yeeh)
twende mamaaa

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...