
beka flavour - sarafina كلمات أغنية
uuuhhh uuuuhhh ah eehhh
uuuhhh aah aaaaaahhhh
mmmmmh
aah aaaaaahhhh
mmmmh
ulipaswa uwe mvumilivuuu
ungesubiliaaa
uhakiki ndo utoe majibuu
kama nimekosea aah
najua wivu niugonjwa
ambao wengi tunaugua
unanibuk-mu sina kosaa
mbona kipenzi unanionea
heeey
misemo ya wahenga
(baby umepuuzia)
uuuhh
maneno yanajenga
(menginee yanabomoa)
na kibanda tushajenga
(badoo kuhamiaa)
usigeuke samaki
(ndoano zikakuopoa)
sarafina
sarafina
sarafina
(kipenzi)
sarafina
sarafina
sarafina
(my baby)
sarafina
sarafina
sarafina
(mpenzi)
sarafina
sarafina
sarafina
hakuna apendae mua kula kwenyefundo ama tindini hata
kama nikukosa usikurupuke niulize mimi
hakuna apendae mua kula kwenye fundo ama tindini hata kama nikukosa
usikurupuke niulize mimi tujenge amani
mmmh eeeeh
niulize mimi tujenge amani
niulize mimi tujenge amani
tabia fulani za f-ku f-ku kwepana nazo mama mapenzi
yasikatike yakawa luku yakisha ndani oh na kinyonga
mtaratibu kwenye amani ila kwenye vita nakimbia kipimo
cha majaribu hadi shetani
usiruhusu akaingia kinyonga mtaratibu kwenye amani
kwenye vita nakimbia kipimo cha majaribu hadi shetani
usirihusu akaingia
maneno ya kuambiwa usiyajaji fasta fasta mami macho
funika pazia masikioni weka pamba darling
maneno ya kuambiwa usiyajaji fasta fasta mami macho
funika pazia masikioni weka pamba darling
sarafina
sarafina
sarafina
(kipenzi)
sarafina
sarafina
sarafina
(my baby)
sarafina
sarafina
sarafina
(mpenzi)
sarafina
sarafina
sarafina
hakuna apendae mua kula kwenyefundo ama tindini hata
kama nikukosa usikurupuke niulize mimi
hakuna apendae mua kula kwenye fundo ama tindini hata kama nikukosa
usikurupuke niulize mimi tujenge amani
mmmh eeeeh
niulize mimi tujenge amani
niulize mimi tujenge amani
كلمات أغنية عشوائية
- jeremy warmsley - if i had only كلمات أغنية
- jason webley - almost time to go كلمات أغنية
- jenny wilson - the wooden chair كلمات أغنية
- jeevas - silver apples كلمات أغنية
- jejune - fixed on the one كلمات أغنية
- janes addiction - bring the mood كلمات أغنية
- jeffrey foucault - street light halos كلمات أغنية
- jason molina - let me go let me go let me go كلمات أغنية
- jennifer oconnor - century estates كلمات أغنية
- islands - volcanoes كلمات أغنية