kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

beatrice muhone - kijito cha utakaso كلمات الأغنية

Loading...

yesu kwako ninalia
nitakufa ukiona
wako nisogeze eeeh

hivi hivi nitwae ×3
wokovu nisogeze eeya
hivi hivi nitwae
nina dhambi na sifai
damu yako natumai
naja hivi hukatai
hivi hivi nitwae×3
wokovu nisogeze eeya
hivi hivi nitwae

kijito cha utakaso
ni damu ya yesu
bwana anao uweza
kunipa wokovu

kijito cha utakaso
nizame kuoshwa humo
namsifu bwana kwa hiyo
nimepata utakaso×2

ni neema ya ajabu
k-mpa mwanadamu
kabla yesu k-mjuaa
yesu kuwa msalabani

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...