kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

barnaba classic - wrong number كلمات أغنية

Loading...

[intro: barnaba]
siijui hii sms, baby

[verse 1: barnaba]
una haki, sikulaumu, na una kila sababu
kuni_command, kuniuliza, “huyu ni nani?”
si ku_command mume w_ngu, ila nalinda pendo langu
uko ndani ya himaya yangu, ndio maana nina hofu na zao langu
uko sahihi ila inabidi uchunguze kwanza, ukipata jibu ndio u_panic, sio puh tu unavimba
hayo si maneno mume w_ngu, kuyanena mbele yangu
un_z_pelekea hisia zangu, kuhisi naibiwa zao langu
mmm, basi baby, nakupa meseji usome, na ukishasoma usilalamike, usini_set mume w_ngu, wataka kuiponza roho yangu
suluhisho la moyo w_ngu, mpigie upooze mtima w_ngu

[chorus: barnaba & [?] ]
tusigombane kisa meseji hiyo, baby siijui
amekosea namba, haipaswi kulalamika
haiwezekani, tumpigie, uweke loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, wakati wenye simu ni wengi
tusigombane kisa meseji hiyo, baby siijui
amekosea namba, haipaswi kulalamika
haiwеzekani, tumpigie, uwekе loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, wakati wenye simu ni wengi

[instrumental break]
[bridge]
ooh, ooh, ooh

[verse 2]
chozi langu thamani, lanitoka chumbani (hey), na mlilia nani?, kama si wewe
najua ni hasira zikipoa mpendwa utaelewa, hata maji ya moto hupoa mapema yakipepewa
usipoteze lengo mume w_ngu, nataka kuzifumba mboni zangu
mpigie huyo mwenzangu, ili nijue kuwa sipo pekee yangu
haya kachukue chaja yangu, ipo kule kwenye mkoba w_ngu, ukisharudi tena kw_ngu ‘we utafurahi mke w_ngu

[chorus]
tusigombane kisa meseji hiyo, baby siijui, amekosea namba, haipaswi kulalamika
haiwezekani, tumpigie, uweke loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, wakati wenye simu ni wengi, ooh, ona sasa zimefutika namba, zimefutika sms kwenye inbox, aah!, ona baba, umezifuta makusudi
mbona mi mwanzo niliziona kwa macho yangu

[post_chorus]
tusigombane kisa meseji hiyo, baby siijui, amekosea namba, haipaswi kulalamika
haiwezekani, tumpigie, (mh), uweke loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, wakati wenye simu ni wengi
haiwezekani, tumpigie, (sina namba, siunajuwa zimefutika?), uweke loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, (mmm) wakati wenye simu ni wengi, achana nayo, mh, sawa bwana

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...