barnaba classic - kitu كلمات أغنية

[intro]
yo badman
yeh, abigail chams again
[verse 1 : barnaba]
hamna kitu naweza kukuambia mpenzi, labda kukusifia
nimeona wengi kwenye dunia, lakini wapi hawajakufikia
na ulivyo chocolate, black skin colour
kama keki, mchuzi wa masala
uko neti kila idara
penzi letu hatujabeti, liko imara
[pre chorus: barnaba]
mechi tunazoshinda chumbani, we ndo captain w_ngu
unaniongoza golini, mpaka napata ushindi w_ngu
si siupige kelele, ashi au baby tamu
na ilivyo tamu kama chocolate, walai nakupenda
[chorus: barnaba]
haya mapenzi yananifanya nachachawa
akichanganya ile kitu, na kuwa siko sawa
siishi k_muwaza anayenifanyaga niwe sawa
aah, ile kitu, na kuwa siko sawa
[verse 2 : abigail chams]
and mpenzi, umenifunga macho
mwingine sioni tena
ndege nimepata chota
natazama penzi, naota
lazizi, umenifunga mguu
sitamani toka_toka
nnachostahili sijakosaa, wouoh
[pre chorus: abigail chams]
mechi tunazoshinda chumbani, we ndo captain w_ngu
unaniongoza golini, mpaka napata ushindi w_ngu
si siupige kelele, ashi au baby tamu
na ilivyo tamu kama chocolate, walai nakupеnda
[chorus : abigail chams]
haya mapenzi yananifanya nachachawa
akichanganya ile kitu, na kuwa siko sawa
siishi k_muwaza anayenifanyaga niwе sawa
aah, ile kitu, na kuwa siko sawa
[outro : abigail chams & barnaba]
wakitaka vita wakuchukue sweetheart
na kitachimbika moto hautazima
wakitaka vita wakuchukue sweetheart
na kitachimbika moto hautazima
كلمات أغنية عشوائية
- 808dna - glitter and powder كلمات أغنية
- oliver tree - things we used to do كلمات أغنية
- rhapsody of fire - magic signs كلمات أغنية
- jefferson starship - volunteers (live) كلمات أغنية
- saske & kas rules - east coast كلمات أغنية
- kuklon - одеяло (blanket) كلمات أغنية
- king jase - fight back كلمات أغنية
- marte marasco - conchiglia كلمات أغنية
- dark pit - con bitch كلمات أغنية
- harry mack - new york shit كلمات أغنية