
barnaba classic - gubegube كلمات أغنية

[intro]
ma_ma_ma_magubegube
<>
magumegume
(ma_ma_ma)
magubegube
(ma_ma_ma)
magubegube
(ma_ma_ma_, magume, gume…)
magumegume
magubegube
(mama_ma_ma)
usiombe ung’oe (gubegube)
wana mambo, ah (gubegube)
unaweza ukampiga mpaka ukaua
na ‘usiombe ukutane na, (magumegume)
wana mambo, ah (magumegume)
unaweza ukamsuta mpaka mkachoka nyie
ah, juzi juzi nilizungumza na jirani yangu
ah, nikamuuliza, “vipi kuhusu shemeji yangu?”
alicho nijibu kibaya, sikutegemea kabisa
“shemeji yako mmbaya kwanza usiku halali kabisa”
ah, juzi juzi tena nilizungumza na mama mwenye nyumba yangu
ah, nikamuuliza, “vipi kuhusu ile kodi yangu?”
alicho nijibu kibaya, sikutegemеa kabisa
kama nahitaji kuendelea, basi mwili w_ngu lazima nami nimpе
usiombe ung’oe (gubegube)
wana mambo, ah (gubegube)
unaweza ukampiga mpaka ukaua
na ‘usiombe ukutane na, (magumegume)
wana mambo, ah (magumegume)
unaweza ukamsuta mpaka mkachoka mjue
mapenzi yamekuwa uongo, yamekuwa uongo
yanachanganya sana ubongo, unaweza uka_paralyze
na wapenzi wamekuwa waongo, wamekuwa waongo
unazama leo kesho longolongo, swali na jibu kamwe haliko wazi
ah, juzi juzi nilizungumza na teacher w_ngu
ah, nikamuuliza, “vipi kuhusu majibu yangu?”
alicho nijibu kibaya, sikutegemea kabisa
kama nahitaji kupita, basi lazima kidogo dogo nami k_mpa
ma_ma_ma_ma
ma_ma_ma_ma
ma_ma, basi lazima kidogo dogo nami k_mpaga
usiombe ung’oe (gubegube)
wana mambo (magubegube)
unaweza ukampiga mpaka ukaua
na ‘usiombe ukutane na, (magumegume)
wana mambo, ah (magumegume)
unaweza ukamsuta mpaka mkachoka nyie
hivi ni shida au tamaa zinazo waleta
au shilingi inaleta balaa, ma_ma (magumegume)
ah, usiombe ung’oe (magubegube)
wana mambo (magumegume)
unaweza ukapigwa mpaka
mpaka [ukavimba]
na ‘hivi ni shida au tamaa, eh?
(magumegume)
au shilingi ina wakusanya na kuwajaza?
unaweza ukapiga mpaka, mpaka ukachoka wewe
hey, hey, hey
mpaka ukachoka wewe
usiombe ung’oe (magubegube)
wana mambo, ah (magubegube)
unaweza ukapiga mpaka ukaua, mama
na ‘usiombe ukutane na, (magumegume)
wana mambo, ah (magumegume)
unaweza ukamsuta mpaka mkachoka wewe
ma_ma_ma
magubegube
(ma_ma_ma)
magubegube
(ma_ma_ma_, magube, gube…)
magumegume
magubegube
كلمات أغنية عشوائية
- arcadia grey - her name engraved كلمات أغنية
- milann - honnête musique كلمات أغنية
- ndo runway - westside 93 كلمات أغنية
- juice wrld - inside my head كلمات أغنية
- huora - kuoleman odotusta eri tavoilla كلمات أغنية
- denison witmer & sufjan stevens - focus ring كلمات أغنية
- vibelex - верю в любовь(i believe in love) كلمات أغنية
- aieme - como las olas كلمات أغنية
- joseph kargbo - pistol introduction كلمات أغنية
- une bonne soirée - je suis une victime كلمات أغنية