bardface - vulai كلمات الأغنية
[chorus]
ni wa vitu vulai walai
huu shawrie amenimada shida bado sija die
ana kw_nga ame vie ni wamine
ye hutaka on a party tujiseti on a ride
huu peng si ni right hananga lies
shida zake mingi me hu fix over night
mina pendanga her sight akona eyes
ka ni jibu yeah si for sure nisha find
[verse 1]
nimecheki ni wa no cash aside
anapendanga mukuchu ye hutakanga vi light
anasemanga ni more fun for life
if you cheat then i cheat tunakutana hii side
hii ni story ya love alidai jo ni rap
nikimwaga bars kwa hii scene ye ndo one
anatakanga kwa movie akue ye ndo her
me si ndo hе so together si ni one
[pre chorus]
ali fallia trappеr ashanipata
peng si ni beat aki drop me na mwaga
ye si ndo mother me ndo the father
i cater for her siwezi miss akitaka
ye huwaga dancer only for master
me si ndo king nikidai jo napata
najidai kaka siz kwa matter
na ana jua ni tease ye so dem wa moshadha
[chorus]
ni wa vitu vulai walai
huu shawrie amenimada shida bado sija die
ana kw_nga ame vie ni wamine
ye hutaka on a party tujiseti on a ride
huu peng si ni right hananga lies
shida zake mingi me hu fix over night
mina pendanga her sight akona eyes
ka ni jibu yeah si for sure nisha find
[verse 2]
oh dear mi amore jo ni ka pole
lkn argument utajua na si shoke
apenda delmonte na so wa pombe
nature ni best huu ni natural homemade
eyes every where ni celeb huku ghetto
kwa hio gap ashajazia pengo
ana kw_nga na goods anipangia memos
kwa hizi ngoma ye husonga na tempo
[pre chorus]
ali fallia trapper ashanipata
peng si ni beat aki drop me na mwaga
ye si ndo mother me ndo the father
i cater for her siwezi miss akitaka
ye huwaga dancer only for master
me si ndo king nikidai jo napata
najidai kaka ye siz kwa hii matter
na ana jua ni tease ye so dem wa moshadha
[chorus]
ni wa vitu vulai walai
huu shawrie amenimada shida bado sija die
ana kw_nga ame vie ni wamine
ye hutaka on a party tujiseti on a ride
huu peng si ni right hananga lies
shida zake mingi me hu fix over night
mina pendanga her sight akona eyes
ka ni jibu yeah si for sure nisha find
for sure nisha find
anasemanga ni more fun for life
if you cheat then i cheat tunakutana hii side
كلمات أغنية عشوائية
- kongsted - bucovina كلمات الأغنية
- ebebé jamal - samata كلمات الأغنية
- angie - pussy that blows your mind كلمات الأغنية
- alicia moffet - strangers كلمات الأغنية
- margo guryan - come to me slowly (demo) كلمات الأغنية
- rjldiablo - party in the trap كلمات الأغنية
- אביב גפן - hamichtav - המכתב - aviv geffen كلمات الأغنية
- ibisco - meduse كلمات الأغنية
- rachun - tercekik harga كلمات الأغنية
- bigot bois - the coomer song كلمات الأغنية