kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

barakah the prince - unanigasi كلمات أغنية

Loading...

[intro]
aya
ih_ih, yeah, yeah, yeah, mmm, mm

[verse 1]
[?] vimechoka, futa machozi yangu
hata tissue pia, mmm_mm_mh
mi nimebaki mifupa, hauna mvuto mwili w_ngu, we unafurahia, ‘maumivu, kunitia unyonge
nikiona wanakuchezea, nami nnaye kupenda, nina konda
oh, [?] zamani, [?] moyo gw_nge
nami ninataka fungu langu, eh

[pre_chorus]
unaughasi, ghasi moyo w_ngu (unaughasi, ghasi)
unayaghasi, ghasi macho pia (hey)
na unanighasi, ghasi, akili yangu (unaipa kazi)
unayaghasi, ghasi macho pia (nakupenda we)

[chorus]
nambie, nambie (nawe)
mi nabaki mifupa huku wewe unanenepa, nione huruma mimi (nijue)
nipe nafasi yangu (nambie nawe)
tena na nyanyasika na sina nnacho pata nihurumie
nambie (ooh, baby oh)
nambie nawe
ila nabaki mifupa huku wewe unanenepa, nione huruma mimi
nambie
nipe nafasi yangu (nambie nijuе)
ona na nyanyasika na sina nnacho pata nihurumie
[instrumental break]

[verse 2]
najua mi mdhaifu, haijifichi kwako
basi isiwe ni chanzo cha mateso yako
tеna mwenzio siwezi na unajua hilo
ni sababu ya kupenda, tutaamua
sina ambacho nna kihitaji kingine zaidi ya kuwa wako
tena mi si mtakaji wa kingine, isipokuwa pendo lako
usini [?] waki (mm_mm)
basi, usinidhihaki, kwanini sasa

[post_chorus]
unaughasi, ghasi moyo w_ngu (unaughasi, ghasi)
unayaghasi, ghasi macho pia (hey)
na unanighasi, ghasi, akili yangu (unaipa kazi)
unayaghasi, ghasi macho pia (nakupenda we)
nambie, nambie (nawe)
mi nabaki mifupa huku wewe unanenepa, nione huruma mimi (nijue)
nipe nafasi yangu (nambie nawe)
tena na nyanyasika na sina nnacho pata nihurumie
nambie (ooh, baby oh)
nambie nawe
ona nabaki mifupa huku wewe unanenepa, nione huruma mimi
nambie
nipe nafasi yangu (nambie nijue)
ona na nyanyasika na sina nnacho pata nihurumie
mmm_mmm
[instrumental outro]
abidaddy

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...