
barakah the prince - mawazo كلمات أغنية
[intro]
[?]
mm
mie ah yah, yah, no, ooh
iye iye, yeah, mmm
? on the beats
[verse 1]
nilishayafanyia makeke, mapepe
malipo yakawa makuzi, kwa kuchukuliwa mke, bwana
nikamwaga pesa zote, kote, yakanifanya mpuuzi
acha adabu nishike, jama
hiyo yote niliamini mapenzi ni mali (oh, oh), na kuhonga nilidiriki mpaka magari (yeah), bado yalinidhibiti mapenzi jamani, oh, oh yeah
bado pia, niliyaongezea, sikukimbia
[pre_chorus]
oh, mawazo (oh, jamani)
mawazo (hey, hey)
mawazo, mawazo, oh mawazo
yalinikata usingizi
yalinikondesha mawazo, (ya mapenzi)
mawazo (oh, oh)
mawazo, mawazo (oh, yeah, yaliniumiza)
oh, oh, mawazo, jama
na bado niliyathamini
[hook]
mambo mengi unaweza tendwa, bado usije [?] ukarudia kupendwa, oh yeah
mambo mengi unaweza tendwa, bado usije [?] ukarudia kupendwa, oh, mawazo
[verse 2]
dalili iliyokuwa kubwa hitaji langu mapenzi
bado ya kawa ni maigizo kw_ngu, ushenzi
ya lirudisha nyuma iliyo imani yangu ya penzi
ni vigumu, kuamini, j_po mapenzi pasi na penzi
[chorus]
maana, ooh, ooh, mawazo, mawazo
mawazo, mawazo, mawazo, yalinikondesha (kondesha)
nilibaki mifupa sababu ya mawazo (oh, mawazo)
mawazo, mawazo, yaliniumiza mawazo mwezenu, eh’ she broke my heart
[post_chorus]
oh, mawazo (oh, hey hey)
mawazo [(?]
mawazo, mawazo, oh mawazo (yaliniumiza mawazo)
oh mama, yalininyima usingizi
yalinikondesha mawazo (oh, mwenzenu mi)
mawazo, mawazo, mawazo
oh, mie mawazo (oh, mie)
na bado niliyathamini
yeah
oh, mapenzi, ah
na bado niliyathamini
mie, eh, hey
oh mie [?], oh, oh
na bado niliya_
mambo mengi unaweza tendwa, bado usije [?] ukarudia kupendwa, oh yeah
mambo mengi unaweza tendwa, bado usije [?] ukarudia kupendwa, oh, mawazo
[outro]
oh yeah, yeah, yeah
it’s double six
ah, [?] baby
music
كلمات أغنية عشوائية
- rebzyyx - i want you 4ever كلمات أغنية
- hvddy - lmk كلمات أغنية
- kris - balerina كلمات أغنية
- keyn - я ничего не расскажу (i won't tell you anything) كلمات أغنية
- blazer boccle - banging flake كلمات أغنية
- upchuck - crashing كلمات أغنية
- melek - dirty sound كلمات أغنية
- kazem (tr) - bunaldım كلمات أغنية
- бьюнни (bunnybunny_3611) - лучшее время (best time) كلمات أغنية
- ant wan - legacy كلمات أغنية