
barakah the prince - jichunge كلمات أغنية
[intro instrumentals]
oh, eh oh…
oh, leo
(leo)
[verse 1]
nitokapo si kutamu
dharau na masengenyo
ndio vilitawala
sikuwa na hamu (hamu)
vyote milipokea
na kusema, ye wala’
hakujuwa
[?] wa k_mtusi mamba hajauvuka mto
akajuwa
upole na upendo w_ngu umeshakosa soko
[hook 1]
daily
sikutaka kuamini (kuamini)
yeye
ni wakunitesa mimi (oh, oh)
daily
sikutaka kuamini, (_ni)
yeye
ni wakunitesa mimi
[pre_chorus]
nenda zako
nenda zako
nishatulia, h_llo
sasa yupo
sasa yupo
anaye ulea moyo
nenda zako
nenda zako
nishatulia, h_llo
sasa yupo
sasa yupo
anaye ulea moyo
[chorus]
naomba ujichunge (we jichunge)
usibadilike
ukawa kama yule (kama yule)
baby, naomba ujichunge (ujichunge)
usibadilike
ukawa kama yule
[verse 2]
sasa umejuwa kwanini
siwezi ondoka kwako
[?] nimekula ya nini
tena nakula kiapo
we ndio wa mwisho kupendwa na moyo w_ngu
sihitaji tena kupepesa macho yangu
aibu, hata mbali
mpenzi naomba uchunge
vishawishi vya mbali visiondoke nawe
[hook 2]
daily, uwe furaha ya mimi (ya mimi)
nawe
zaidi ya raha ya mimi (ya mimi)
daily, uwe furaha ya mimi
nawe
zaidi ya raha ya mimi
[refrain]
leo
leo…
oh, leo,(oh, leo)
(leo)
ooh, hey
[chorus]
naomba ujichunge (we jichunge)
usibadilike
ukawa kama yule (kama yule)
baby, naomba ujichunge (ujichunge)
usibadilike
ukawa kama yule
[instrumental outro]
كلمات أغنية عشوائية
- lowhency pierre - losing كلمات أغنية
- creeping - the reckoning كلمات أغنية
- devin the dude - a good woman كلمات أغنية
- jd pantoja, seppe & gama & fran zata - no se va كلمات أغنية
- les grands enfants - gemini كلمات أغنية
- ain gang - we all hate each other in this song كلمات أغنية
- rod 3030 - sobre o que somos não sobre o que temos كلمات أغنية
- bvcovia - ecou كلمات أغنية
- lando! (landosmusic) - take loop كلمات أغنية
- tommaso lyon - deja vù كلمات أغنية